Mm imenitokea na mpk sasa nimewekewa majini mwilini mwangu....alieyaweka anaona choxhote nifanyacho nahadikunirekodi matendo yangu...naninamsikia maongezi yakeyote anayofanya na ubaya anaonitendea....huyo hayajamkuta bado
Hii mada niyazamani lkn naomba kuuliza swali....
Km wanachukua nguo zako nakuzifanyia uchawi wakuzizika nakugawana...inamaana hatakwafundi nguo tusiwetunapeleka mana nako watatuma majini na kwendabeba nyuzi zinazokatwa....au Hii imekaaje.
..
Mzee wa kijiji...umewleza vzr na kwakuongezea vyakula vyautotoni vinachangia sn kua najamii yenye akili ....angalia hayo maeneo yote suala la vyakula vyenye rutuba zote Vinapatikana...
Pili tangu alipokuja mkoloni wakristo walipewa kipaombele chaelimu wkt iliuweze ingia kwenye mfumo waelimu...
.....
Kama kuna vitu vunavyoendana basi hayo mawazo...
You can't think correctly without virtualize first(logically)....lazima ujenge taswira Kwanza halafu ndio you have to think correct...so I thing they are dependent
.....
GNS3 na hii eve-ng hazina tofauti sn....the latest version inazohizo requirements zote...the best thing nikujua jinsi yakuzitumia kwakua hata window's sv unaweza tumia kwenye gns3 the same to eve-ng....but kijana muomba kazi uckatetamaa
Nini kifanyike km umeyajua hayo yote....mana umetoa maelekezo lkn hakuna suluhisho...haya mambo ni mengi sn mijini cku hizi na wanasingizia hali mbaya ya uchumI mana walizoea hela zaburebure na sasa hazipo....solution please!!!!!
Hata wachawi wanaitumia hii njia...Ila wao wanaitumia taa zile kubwa za maofisini na majumbani za tube kuweza fanya hivyo....the only difference hapa ni kwamba hutambui kwakawaida kinachofanywa....you need to have a 3rd eye....@Mshana Jr atanisaidia hili
Nakupunga kaka kua hatuwezi...ilahatujaamua km kweli hawatumii...they can build their own network locally....and only accessible locally...I mean tz only na ikawa ipo secure vzr tu...wapo watz wanajua sn hayo mambo ila maybe hawajapata hio nafasi yakutengeneza sehemu km hizo
....kwa kuanzia wangetengeneza unga ilikuilinda mihogo yao halafu wanasafirisha unga na kuja kuuza mjini....kuliko Kusubiri mpk mabosi waje....wao wenyewe wajisogeze
Kwa kazi za professional usiku Kwa maisha ya tz cjui km zipo mfano support kwenye IT...business...data entry yaani mchana unaenda kazini kwako ucku unaenda piga mzigo wakuingiza elful 10-15 Kwa siku....anaejua hii please.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.