Kipi ni bora; kufikiri kimantiki (Think logically) au kufikiri kwa usahihi? (Think correctly)

SaidAlly

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
2,282
2,000
"think logically in a correct way"

Mie naona zinaenda on same process to accomplish something, putting logics in place to find the right decision.

Mfano. Badala ya kufyeka msitu ili kutengeneza bwawa la kufuga dagaa, bora kuendelea kupima samaki wanaovuliwa ili dagaa wazaliane zaidi kwa muda fulani.

Baada ya huo muda dagaa watakua wengi na kutoka wenyewe ziwani tutawakamata tu kwa mikono bila nyavu, wakati huohuo msitu utaendelea kuwepo na wanyama kuendelea kuzaliana. Watalii njooni sasa.....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rossoneri

Senior Member
Mar 29, 2015
141
250
Kwa mtazamo wangu kufikiri ni logic na usahihi unakuja kutokana na matokeo ya ulichofikiri(logic zako).

Kwa maana hiyo unapofikiri(kujenga logics zako),matokeo yake yakiwa sawa na logics zako basi ulikua sahihi na yakiwa tofauti maana yake logics zako hazikua sahihi.

Na kwenye kufikiri hadi kupata matokeo sahihi au ambayo sio sahihi inategemeana na critical thinking capacity ya mtu,emotional na uwezo wa kufanya maamuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtoni2020

Member
Dec 29, 2017
20
75
Salaam wadau

Kumekuwa na mijadala mingi ya kwa nini watu wengi hawafanikiwi katika shughuli zao. Kiuchumi, kifamilia, kielimu na nk. Moja ya sababu zilizo tajwa ni namna yao kufikiri mambo. Kwamba mafanikio au kuanguka huko hutegea namna yao kufikiri.

Nahitaji tusaidiane kama mada inavyo jieleza kipi ni Bora?

Nawasilisha.
.....
Kama kuna vitu vunavyoendana basi hayo mawazo...
You can't think correctly without virtualize first(logically)....lazima ujenge taswira Kwanza halafu ndio you have to think correct...so I thing they are dependent
 
Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,028
2,000
Ninavyoona mimi ... kufikiri kimantiki ... ni kufikiri kwa kutumia rejea wa waliokutangulia ...
Kufikiri kwa usahihi ni ile hali ya kufikiri kwa kusikiliza nafsi yako ya ndani inakuelekeza nini ...
The best ni kuisikiliza nafsi ya ndani kwa sababu kufikiri kwa kurejea yale yalotangulia .. hata siku moja huwezi kugundua jambo jipya.
 
Sir Khan

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
5,120
2,000
Mie naona zinaenda on same process to accomplish something, putting logics in place to find the right decision.

Mfano. Badala ya kufyeka msitu ili kutengeneza bwawa la kufuga dagaa, bora kuendelea kupima samaki wanaovuliwa ili dagaa wazaliane zaidi kwa muda fulani.

Baada ya huo muda dagaa watakua wengi na kutoka wenyewe ziwani tutawakamata tu kwa mikono bila nyavu, wakati huohuo msitu utaendelea kuwepo na wanyama kuendelea kuzaliana. Watalii njooni sasa.....!

Sent using Jamii Forums mobile app
100%
 
Habuba

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
923
1,000
Mkuu mimi nitofautiane na wewe kidogo. Naona kuna uwezekano wa kufikiri kwa mantiki lakini usiwe sahihi. Nizungumzie hapo Kwenye mfano wako. Assume MTU ambaye ametumia logic katika kufanya vitu hivyo alivyo ainisha hapo. (Muda,solo nk). Lakini kikatokea kitu labda ugonjwa ambao ni mpya kwa msimu huo(Dawa hazipatikani au zimeshindwa kuutibu) akapata hasara. Huyu MTU atakuwa amefikiria kwa Mantiki lakini hajawa sahihi.

Japo Mara nyingi MTU akifanya kitu kwa usahihi anakuwa alitumia mantiki kufanikisha. Ila anaweza akatumia mantiki lakini asiwe sahihi. Na kwa ulimwengu wetu saizi nadhani inabidi MTU awe sahihi zaidi ili afanikiwe kuliko kuwa na mantiki au awe navyo vyote kwa pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanza inatakiwa kujua, what is logic?
Logic is the brach of mathematics which deals with study of correcting reasoning. Hapa tunatumia logic laws au truth table Ku test validity. Kama ulichofikilia ni valid/sahihi basi utakuwa umefanya correct thinking.
What if your thinking is not valid? The same applied tunatumia logic ku test ulichokifikilia na kujua ufala huo.

So bila logic thinking huwezi kujua kama unafanya correct thinking au unafanya wrong thinking.

Tumia logic Ku test ulichokifikilia na utajua kama unafanya correct thinking au wrong thinking.
Kufikiri kwa usahihi au usawa kukoje na kufikiri kimantiki kukoje ?

Je utajuaje kama hapa umefikiri sahihi au ni vigezo gani huzingatiwa ili nifikiri kwa usahihi ?

Kuna huyu mdau kasema bora ni kufikilia intelligently/rationally
Kilicho bora is to think intelligently/rationally.
Ikiwa unafanya rational thinking means you think analitically, that is logic na ndo artificial intelligence.
 
Habuba

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
923
1,000
Mkuu mimi nitofautiane na wewe kidogo. Naona kuna uwezekano wa kufikiri kwa mantiki lakini usiwe sahihi. Nizungumzie hapo Kwenye mfano wako. Assume MTU ambaye ametumia logic katika kufanya vitu hivyo alivyo ainisha hapo. (Muda,solo nk). Lakini kikatokea kitu labda ugonjwa ambao ni mpya kwa msimu huo(Dawa hazipatikani au zimeshindwa kuutibu) akapata hasara. Huyu MTU atakuwa amefikiria kwa Mantiki lakini hajawa sahihi.

Japo Mara nyingi MTU akifanya kitu kwa usahihi anakuwa alitumia mantiki kufanikisha. Ila anaweza akatumia mantiki lakini asiwe sahihi. Na kwa ulimwengu wetu saizi nadhani inabidi MTU awe sahihi zaidi ili afanikiwe kuliko kuwa na mantiki au awe navyo vyote kwa pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanza inatakiwa kujua, what is logic?
Logic is the brach of mathematics which deals with study of correcting reasoning. Hapa tunatumia logic laws au truth table Ku test validity. Kama ulichofikilia ni valid/sahihi basi utakuwa umefanya correct thinking.
What if your thinking is not valid? The same applied tunatumia logic ku test ulichokifikilia na kujua ufala huo.

So bila logical hinking huwezi kujua kama unafanya correct thinking au unafanya wrong thinking.

Tumia logic Ku test ulichokifikilia na utajua kama unafanya correct thinking au wrong thinking.
Kufikiri kwa usahihi au usawa kukoje na kufikiri kimantiki kukoje ?

Je utajuaje kama hapa umefikiri sahihi au ni vigezo gani huzingatiwa ili nifikiri kwa usahihi ?

Kuna huyu mdau kasema bora ni kufikilia intelligently/rationally
Kilicho bora is to think intelligently/rationally.
Ukiwa unafanya rational thinking means you think analitically, that is logic na ndo artificial intelligence.
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
42,769
2,000
Logical thinking ni nzuri kwenye kutafuta optimum solutions. Ila kwenye swala la correct thinking lenyewe ni zaidi ya logical sababu kufikiri kwa usahihi kunakupa room for flexibility!

Logical thinking is based on a systematic way of thinking kama tunavyojua mfumo huwa haubadiliki ku favour variables!
 
philos

Senior Member
Jan 3, 2011
175
500
Salaam wadau

Kumekuwa na mijadala mingi ya kwa nini watu wengi hawafanikiwi katika shughuli zao. Kiuchumi, kifamilia, kielimu na nk. Moja ya sababu zilizo tajwa ni namna yao kufikiri mambo. Kwamba mafanikio au kuanguka huko hutegea namna yao kufikiri.

Nahitaji tusaidiane kama mada inavyo jieleza kipi ni Bora?

Nawasilisha.
Huwezi kufikiri kwa usahihi kama hautofikiri logically!
Logic is the art and science of correct thinking!
 
MKANDAHARI

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
4,408
2,000
Usahihi hauwezi kuwepo bila ya logic. Logic ndio huzaa usahihi au kinyume chake.

Mfano usahihi ni kufika ng'ambo nyingine ya mto, ila kuweza kufika hapo lazima ujiulize(logic) what if kuna mamba? Nitatoboa? Ukishajiuliza hivi ambayo ndio logic unaweza ku decide kuvuka au kuahirisha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom