Komrade unaposema ni ajali kuna watu watajificha kwenye hiyo term na kusema kuwa ajali haina kinga na hivyo tabia hizo haziwezi kuzuilika
Hizo ni tabia mbaya tuu na kwa kizazi cha sasa zinachagizwa na tamaa.....watoto wetu waache na tuwasihi ,tuwafundishe kuwa tamaa ni mbaya
Umenikumbusha kitambo sana....huyo mwamba kabelo nilikuwa namkubali sana na bibie Mimi k ,walichangia sana kuboresha ubora wangu wa lugha na kuujua muziki kipindi hicho
Ikiwa sijakosea hata huyu vannesa alishawahi kuwa presenter wa hiyo channel
Ninachokiona hapo ni Kuna kutunushiana misuli......na kirahisi rahisi humuwezi na atakusumbua sana ukizingatia status yake ni watu wasiojali ,ikiwa anaweza kufunga nyumba na akaenda kuishi popote na haoni ttzo huyo atakusumbua sana
Suluhisho ni mambo mawili.....mosi,jishushe na ukubali...
Ikiwa ulichotueleza ndo kipo km kilivyo bila ya kuweka udanganyifu basi jambo la kukusaidia kupata stahiki zako ni kufuata taratibu za kumfikisha mahakamani ......hakuna zaidi ya hilo.Maana huyo ni mbabaishaji na anapewa kichwa na wababaishaji wenzake
zumbemkuu , tafadhwali kaka,naomba taarifa ya uwepo wa mwenyekiti wako,maana ni kipindi sijasoma maoni yake haswa kipindi hiki timu inavyofanya vyema.........au ndo mpk tuanze kudondosha pweinti ndo atajitokeza!!!?
Kwa wanaomjua Dr personally baba saleh,au ambae ana mawasiliano naye ya karibu atupe taarifa ya Hali yake,ni muda hatujamsoma toka baada ya kutujulisha hali yake ya kiafya ilivyokuwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.