Unafurahia channel zipi za DSTV?

Unafurahia channel zipi za DSTV?

Hawa DStv wamepndoa channel ya Aljazeera?

Tokea asubuhi inaandika NO INFORMATION AVAILABLE.
 
Wasira channel
IMG_0612.jpeg
 
Mnet wanasema ilikuwa ni gharama kujiendesha na ilikumbwa na ushindani wa chanetll kama mtv, kama unakumbuka vizuri ilikuwa na premium sound quality, video na kulikuwa na presenters wa karibu kila aina ya muziki, kama kina, mimi k, kabelo, Zannelle etc.
Sidhani kama itajirudia Ile age kwa kweli
Umenikumbusha kitambo sana....huyo mwamba kabelo nilikuwa namkubali sana na bibie Mimi k ,walichangia sana kuboresha ubora wangu wa lugha na kuujua muziki kipindi hicho

Ikiwa sijakosea hata huyu vannesa alishawahi kuwa presenter wa hiyo channel
 
Back
Top Bottom