Tumechoka na haya matamko, karibu tv zote zinafanya kinyume na vile tuliambiwa wakati tunahama kwenye analogia. Sasa cha muhimu hao TCRA wachukue hatua maana tulishalalamika sana kupitia njia ambazo tuliambiwa tutumie kutoa malalamiko, na pia TCRA watoe elimu ili kila mtu ajue kwamba kile...
wakati Azam wanaanza kutoa huduma walitoa na vipeperushi wakionyesha channels za bure na za kulipia lakini jambo la kushangaza baada ya muda wa malipo kuisha na wiki tatu kupita walikata hata zile walizotuambia kwenye vipeperushi ni bure! sikuelewa wapi nipeleke malalamiko maana ilikuwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.