Anayefahamu mlima mrefu ktk mkoa wa Mara unaitwaje?

Anayefahamu mlima mrefu ktk mkoa wa Mara unaitwaje?

mlima mrefu kuliko yote mkoa wa mara ni mlima chamriho, uko maeneo ya nyamuswa umeungana na mlima balili wa bunda, kwenye huo mlima inasemekana kuna vitu wajerumani wamefukia juu ya mlima. pia ndio mlima mrefu kuliko yote kanda ya ziwa
Wengi wanasema huo lakini Musoma vijijini nasikia napo upo mrefu zaidi
 
mlima mrefu kuliko yote mkoa wa mara ni mlima chamriho, uko maeneo ya nyamuswa umeungana na mlima balili wa bunda, kwenye huo mlima inasemekana kuna vitu wajerumani wamefukia juu ya mlima. pia ndio mlima mrefu kuliko yote kanda ya ziwa
Nakubaliana na jibu lako.
 
Mmh huo wa chigaga hauwez kuwa mrefu kuliko yote, huo ni sawa tu na ule wa Nansimo tu
Wa Nansimo ndo umeungana na huo wa Kigaga nadhani unawezakuwa mrefu kwa wilaya ya Bunda. I think unauzidi ule wa Balili (Nyamakokoto)
 
Mlima rory ndiyo mlima mrefu kuliko milima yote mkoa wa mara tena ukiwa kowak au baraki ndiyo unauona vzr[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom