Satuuuu
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,849
- 1,994
Alishafariki! kwa sawa ni Askofu MsonganzilaHivi Askofu JUSTINE SAMBA bado yupo kweli mkuu?
Alishafariki! kwa sawa ni Askofu MsonganzilaHivi Askofu JUSTINE SAMBA bado yupo kweli mkuu?
Nani kasemaga hatujengagi kwetu go?Shida yenu ninyi watani zangu hamrudi kujenga kwenugo
Hahahahhaa, nimechekaje, Basi la Ngoreme na Bukwaya za kwenda Mugumu enzi hizo zinapitia Kiagata. Raha tupu. Bukwaya ikianza safari mji mzima unasikia mgurumu wa RaylandMbona sijaona tajiri Nyakiteri hapo??
Nimemsikia sana huyu pia ana jengo la Ghorofa pake kitaji
farai coach
mikate ya united
watoto kuvuka barabara ya ndege/runway kwa miguu. shotcut ya watu wanaotokea mwisenge kuja kwenye hizo shule
matengere
mazara
nakumbuka siku tunamuaga mwinyi pale uwanjani
umitashumta
mitihani ya ujirani mwema mnabeba madawati kwenda shule jirani.
maloko.
sangara kule aliitwa chengu.
matani.
mcc.
mchakamchaka.
siku ikija ile ndege kubwa ya jeshi au airtanzania mnawahi kushangaa. au ile foka au ndege ya buyoya alipokuwa anakuja kupata darasa kwa nyerere.
beach...
litungu wakura wakitahiriwa.
mitunge
Hahaha Ngoreme bus nakumbuka mmiliki alikuwa Ni mzee Jackson enzi hizo.Hahahahhaa, nimechekaje, Basi la Ngoreme na Bukwaya za kwenda Mugumu enzi hizo zinapitia Kiagata. Raha tupu. Bukwaya ikianza safari mji mzima unasikia mgurumu wa Rayland
Kulikua na Bhukwaya moja imeandikwa ABHAGANGAJI inaenda majita....... hata ikiwa mkirira au nyakatende unaisikiaHahahahhaa, nimechekaje, Basi la Ngoreme na Bukwaya za kwenda Mugumu enzi hizo zinapitia Kiagata. Raha tupu. Bukwaya ikianza safari mji mzima unasikia mgurumu wa Rayland
Hahaha YUPO, AMETOKA, KASAFIRI..mzee Mtaragara na vibao vyake mlangoni.... YUPO, HAYUPO, SAFARI, MKUTANONI. KANISANI n.k
Aisee... Hapo umenikumbusha tabu mwehu na matindeKulikuwa na mweu anaitwa mungu baba, mlima mkendo kulikuwa na panya buku kule makoko tuliamini kuna mtu anaitwa mitwe birwi anachinga watu
ANAOGA, ANAKULA, AMELALA, N.KHahaha YUPO, AMETOKA, KASAFIRI..
Kulikua na Bhukwaya moja imeandikwa ABHAGANGAJI inaenda majita....... hata ikiwa mkirira au nyakatende unaisikia