Recent content by Mtilimapanda

  1. M

    Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

    Usi globlaze matatizo yako Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Arusha kiboko ya wanawake wazuri Tanzania

    Taabu dental colors Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Mrisho Mpoto, pumba tupu

    Namuonaga havai viatu! Au ndiyo bangi zenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Nini ni nini kati ya Tembo, Ndovu, meno ya Tembo, Pembe za Tembo?

    Jina sahihi ni Tembo na yale yanayosababisha kuuwawa ni meno. Hata ile ya Kifaru siyo pembe ni nywele.
  5. M

    Hili suala la wanaume kufia gest mnalichukuliaje?

    Kifo mi mahali popote. Tena kuga juu ya kiuno ni sawa kabisa kwani pale mwanaume anatumia nguvu sana na damu nyingi inakua kwenye uume na isitoshe raha sanaa au maumivu sanaa yanaua
  6. M

    Hivi mwanamke bila kuomba hela hakuna maisha?

    Halafu shida zao ni zilezile 'nataka nikasuke, sina vocha, nataka kununua godoro, sijala bby, mama anaumwaa'
  7. M

    Msaada_wanawake wa kibena-iringa.

    Hao ndiyo wa kuoa kaka superb
  8. M

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Mwalimu: kama A=B na B=C hivyo A=C. Haya sasa toa mfano halisi wa hapo juu. Mwanafunzi: kama mwalimu unanipenda mimi na mwalimu unampenda binti yako hivyo mimi nampenda binti yako
  9. M

    RC wa Mwanza, John Mongella naye ni Jipu. Litumbuliwe ama lijitumbue lenyewe haraka sana

    Mkuu wa Mkoa hana mamlaka ya kumuhamisha RPC. Chunguza vizuri Kuna kila dalili za viongozi wa sasa kucopy na kupaste tabia mbaya ya kuhamisha mtu anayevuruga katika eneo moja na kumpeleka eneo jingine. Nimesikitishwa sana na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kumhamisha RPC na kumpeleka Mbeya...
  10. M

    Uteuzi wa Kippi Warioba ubunge CCM Kawe umemlainisha Jàji Warioba?

    Umeema kweli ghafla mzee kabadilika kabisa
Back
Top Bottom