Recent content by Mti wa Chuma

  1. Mti wa Chuma

    Naomba kufahamu kuhusu kampuni ya Global Cash Investment and loans

    Habari wana jamvi. Napenda kufahamu kuhusu hiyo kampuni tajwa hapo juu. Kwa maelezo niliyopata ni kwamba wanahusika na mikopo pamoja na uwekezaji. Lakini sina uhakika nao. Kwa yeyote anayefahamu kampuni hii anisaidie kama kuna ukweli.
  2. Mti wa Chuma

    Waziri Mkuu Majaliwa: Viroba marufuku kuzalishwa wala kutumiwa kuanzia Machi 01, 2017

    Kwahiyo kupiga marufuku viroba ndo wanafunzi watashindwa kununua pombe aina zingine?
  3. Mti wa Chuma

    Hujuma zinazofanywa na mifuko ya hifadhi za jamii

    Mifuko ya hifadhi za jamii no sehemu salama pa kuweka mafao ambao baadaye itamsaidia mwanachama akistaafu kwenye ajira. Lakini hali hii ni tofauti na jinsi mifuko hizo zinavyojiendesha. Nitaelezea hujuma ambayo NSSF hufanya Kwa wanachama wake. [emoji117] Moja ya hujuma kubwa na mbaya zaidi...
  4. Mti wa Chuma

    Tazama Live Rais Mteule wa Gambia Adama Barrow akiapishwa

    Sasa akiwa ameaposhwa nchi nyingine ataingia vipi ikulu?
  5. Mti wa Chuma

    Nawezaje kuchukua michango yangu kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii?

    Utawapelekea barua ya kuachishwa kazi kutoka kwa mwajiri wako. Baada ya Hapo watakupa fomu utajaza and then watachunguza kama kweli umeacha kazi au la!
  6. Mti wa Chuma

    Nawezaje kuchukua michango yangu kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii?

    Makato ni pesa ulizokatwa kutoka kwenye mshahara wako ambayo wewe unakatwa 10% na mwajiri wako anakuwekea 10%. Hivyo mafao utalipwa pindi ukifikisha zaidi ya miaka 55 ikiambatana na faida. Lakini ukiamua kuchua hayo makato yako pindi ukiacha kazi utachukua bila faida.
  7. Mti wa Chuma

    Nawezaje kuchukua michango yangu kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii?

    Hivi mnaongelea mafao au makato ya pesa ambazo zilikuwa zinakatwa kwenye mshahara? Kwa ufupi ni hivi; Mimi niliwahi kuacha kazi na nilipofuatilia mambo ya mafao NSSF nikaambiwa nisubiri hadi miaka 55 ila kama ni makato ya pesa za mshahara wako ndani ya wiki Nne unachukua mpunga wako. Angalizo...
  8. Mti wa Chuma

    Tumeshindwana na aliyekuwa mpenzi wangu, nimempeleka mahakamani, sasa anaomba msamaha

    Embu tuambie Hiyo kesi uliendesha wewe au serikali? Na ilichukua muda gani kabla ya hukumu kutolewa? Na Hiyo kesi ya madai uliendesha wewe mwenyewe au ulikuwa na Wanasheria?
  9. Mti wa Chuma

    Tumeshindwana na aliyekuwa mpenzi wangu, nimempeleka mahakamani, sasa anaomba msamaha

    Sasa Hapo kwenye Hiyo ujumbe ndo nimekusoma vizuri. Kumbe huku tunamjibu mwanamke jeuri. Hahaaaahaaaa!! Umeniacha hoi. Hata Uzi wako ni stori za Kutunga tu.
Back
Top Bottom