Nawezaje kuchukua michango yangu kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii?

Mi nimechukua NSSF mwez uliopita ila nimefatilia tangu mwez wa sita kulikuwa na mizengwe mingi had tulipofanya fujo na kwenda idara za juu ndio ikashughulikiwa in short wanalipa ila kwa njia tatu ufanye fujo na wakujue wewe msumbufu au kama mko wengi ndio safi,pili uwe una mtu wa kukufanyia mpango inamaana utoe mpunga ingawa juzi kati wamepangua pangua sana kusafisha hiy kitu au upandishe mashetan kama kuna jamaa alipandisha mashetan keaho yake wakamuandikia chek hamna mfumo maalum na ukiambiwa utapigiwa simu imekula kwako..unatakiwa upambane kweli kweli wengine huwa wanataka kulala had wanatolewa na walinz ndio wanapewa chao hivi hivi ndugu zangu mtasaga meno..!
Asante kwa kunipa hiyo mbinu
swali la kwanza uliwapigia kura ccm mwaka jana??
 
Hata nssf hawatoi mkuu tunapigwa kalenda tu toka august mwaka Jana hadi Leo na hapo tumeambiwa tuende may, this is crazy
mkuu usiende wala nini...
m nakwambia ukweli, nmeenda mimi jana waterfront, wanakwambia mpaka utimize miaka ya kustaafu..nkaulizwa nikifa nani atachukua wakanambia atachukua mrithi wako basi.
ayo mengine ni story tu za vijiweni, hakuna fao ilo na ni kweli walikua wanadanganya eti njoo baada ya miezi 6 utapewa lakin hakuna cha kupewa wala kufanyaje.
 
Hivi mnaongelea mafao au makato ya pesa ambazo zilikuwa zinakatwa kwenye mshahara?
Kwa ufupi ni hivi; Mimi niliwahi kuacha kazi na nilipofuatilia mambo ya mafao NSSF nikaambiwa nisubiri hadi miaka 55 ila kama ni makato ya pesa za mshahara wako ndani ya wiki Nne unachukua mpunga wako.

Angalizo. Makato yako yawe yamekamilika kutoka kwa mwajiri wako.

Sasa nashangaa humu mnachanganya watu.
 
Makato ni yapi na mafao ni yapi? fafanua mkuu make siku zote watu huenda kuchukua pesa zso walizo katwa
 
Wafanyakazi nao tumekuwa waoga kupindukia, Uoga wetu ndo neema ya NSSF na mifuko mingine, Huu uoga utatucost na ndo neema kwao
 
Makato ni yapi na mafao ni yapi? fafanua mkuu make siku zote watu huenda kuchukua pesa zso walizo katwa
Makato ni pesa ulizokatwa kutoka kwenye mshahara wako ambayo wewe unakatwa 10% na mwajiri wako anakuwekea 10%.

Hivyo mafao utalipwa pindi ukifikisha zaidi ya miaka 55 ikiambatana na faida. Lakini ukiamua kuchua hayo makato yako pindi ukiacha kazi utachukua bila faida.
 
Mkuu mim nataka makato na sio Mafao, kuna fomu maalumu ya kujaza kuchukua makato? au unaeleza vipi pale?
 
Mkuu mim nataka makato na sio Mafao, kuna fomu maalumu ya kujaza kuchukua makato? au unaeleza vipi pale?
Utawapelekea barua ya kuachishwa kazi kutoka kwa mwajiri wako. Baada ya Hapo watakupa fomu utajaza and then watachunguza kama kweli umeacha kazi au la!
 
Wakuu,

Hii sheria mpya inatia wasiwasi,ingawa haijapitishwa lakini naona mifuko wameshaanza kuzuia fao la kujitoa.

Nimesharesign na february nitakuwa free from my current emloyer,mfuko wangu ni PPF na ningependa kuchukua kafedha kangu kadogo kalichoko kule...kuna njia yoyote ninayoweza itumia kuipata pesa yangu?Sina mpango wa kuajiriwa tena na kuiacha hela yangu mpaka age 55 or 60 its crazy,kwa kipindi hicho haitakuwa na thamani ya sasa

Please advise.

Pole Sana mkuu na sijui una sh ngapi huko, Mimi PPF wamenidhulumu milioni 10 Kwa amri ya serikali ya mafisi emu.
 
Inabidi yo mobilize tulianzishe, auoga ni mbaya sana ndo unao tu cost, hii ni haki yetu na sio fadhila, lazima tuipiganie kwa nguvu zote,
 
Inabidi yo mobilize tulianzishe, auoga ni mbaya sana ndo unao tu cost, hii ni haki yetu na sio fadhila, lazima tuipiganie kwa nguvu zote,
Inabidi tuandamane mbona tumekuwa mazezeta hv? Hizi fedha za jasho letu! Tupange siku moja wote tutie timu pale water front tunakaa na kulala pale mpaka kieleweke! Tuamke tuko wengi tukubaliane ni lini wadau..
 
Mkuu wa Kaya ataleta POLISI milioni tutaishia kuumia tu
 
Bunge lilizimwa tukaa kaa kimya!!
HESLB ina toza riba zisizo kwenye mikataba kimya!!
JPM ana tuburuza kimya!
BUNGE nalo kibogoyo!!
Hii sheria ilipita kimya kimya mjengoni toka 2012. Rais akasaini. Watz tunasituka kumekucha!!

Cha mhimu Elimu ya mbunge iwe minimum Degree 1, Form 6 Div 3 na Form Four Div3.

Mifuko ya hifadhi ya jamii ni full kijpendekeza hata kama sheria bado inafanyiwa majadiliano kati ya wadau na serikali.

Hapo subiri sheria ipelekwe mjengoni kwanza kupitiwa upya kati ya 2017 au 2018.
Hivi kwa nini hiyo mifuko inapambana ili kuwanyonya wafanyakazi? Hivi na wao wangekuwa wanafanyiwa hivi wangefurahi kweli? Mfanyakazi amekatwa ela yake na umemtuzia huku ukiifanyia bihashara na kupata faida, kwa nini akiitaji pesa yake unaanza kumsumbua au kumnyima kabisa. Yaani watanzania mbona tunakuwa na roho za kinyama hivi?
 
Back
Top Bottom