Hujuma zinazofanywa na mifuko ya hifadhi za jamii

Mti wa Chuma

JF-Expert Member
Jul 2, 2015
331
99
Mifuko ya hifadhi za jamii no sehemu salama pa kuweka mafao ambao baadaye itamsaidia mwanachama akistaafu kwenye ajira.
Lakini hali hii ni tofauti na jinsi mifuko hizo zinavyojiendesha.

Nitaelezea hujuma ambayo NSSF hufanya Kwa wanachama wake.
Moja ya hujuma kubwa na mbaya zaidi ambayo NSSF hufanya Kwa wanachama wake ni pindi mwanachama akiamua kujitoa. Hapo ndo kizungumkuti huanza, mwanachama atazungushwa sana.

Utambiwa subiri miezi.
Baada ya miezi sita ukienda watakuambia tunaendelea na uchunguzi kama bado upo kwenye ajira au laa!

Ukiendelea kusumbua watakuambia subiri tumalize kufanyia marekebisho sheria zetu.



Hayo ni baadhi ya hujuma mbaya sana ambazo NSSF hufanya Kwa wanachama wao.

Furaha ya mfanyakazi ni kuona akisitisha ajira au akisitishwa ajira anapata pesa zake kwenye hifadhi za jamii. Lakini inakuwa ni jambo la kuumiza kuzungushwa Kwa pesa zako ambazo umechangia Kwa hiari yako.

Kwa hali hii ya kusubiri miaka 55 hakuna haja ya kuwepo Kwa fao la muda mfupi NSSF.


Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom