Recent content by Mti mkubwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa electronic please

    Msaada nina kinga'muzi cha antena cha startimes nimenunua av cable toHDMI nikiunga hakisomi wapi nakosea msaada tafaadhari .Asanteni
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sisi ni soka burudani inaendelea

    Hawa jamaa wamekosa mvuto kabisa hususani baada ya ligi mbali mbali kufikia tamati ,vipindi vyao havina maandalizi.niombe waone uwezekano wa kurejesha fta channel huenda zikasaidia kuwabeba tofauti na hivyo mtakosa wateja
  3. M

    JamiiForums Tanzania Umri wa kijana Tanzania unaishia miaka mingapi wakuu?

    Ukipata wajukuu mzee,au agemet wako wakipata wajukuu tayari mzee
  4. M

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya watu mwezi huu wamepata mafua makali yasiyo kawaida

    Hali yangu na familia yangu wote kikohozi na mafua.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kile kigari kinachopiga kelele usiku wa manane ni cha nani?

    Mada ya expert member hiyo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji fedha(Money laundering): Dhana iliyojificha kwa wengi!

    Asanteni nami napata mwanga sasa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji fedha(Money laundering): Dhana iliyojificha kwa wengi!

    Nimekuwa nikisikia jambo hili ika kiukweli sijaelewa ,karibuni kuchangia
  8. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi kusafiri masaa mangapi na ndege

    8hrs
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tiba ya upungufu wa nguvu za kiume.

    Ni Pm nitakusaidi free of charge ukipata ahueni utaona kinachofaa asante
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maji gani ya chupa unapenda kunywa na kwanini?

    Afya radha nzuri na dew drop nikitembelea mby na sumbawanga pia mazuri na package nzuri
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amjulia hali na kumshushia maombi mama yake mzazi aliyelazwa hospitalini

    Pole mheshimiwa Mungu ampe wepesi mama yetu apone.AMINA
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kutokana utandawazi: Je,Tanzania inaweza kuomba kuwa sehemu (state) ya Marekani ?

    Ugumu wa maisha ndio ukufanye uwaze hivo kijana chapa kazi utawini tu hapahapa bongo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tiba mbalimbali.

    Unapatikana wapi,julisha
Back
Top Bottom