Hivi wewe ndio yule kenneth nollo kusila???yule mpwa wa william kusila uliyeingia ccm kwa kuahidiwa kuachiwa jimbo la bahi Kama urithi, matokeo yake ukaangukia pua wakakunyiMa ubunge 2010 wakampa mwarabu mh baduwel (hata wagogo wenzako tunamwamini mwarabu baduwel kuliko wewe!!) Naambiwa hapa...
mkuu sijakuelewa unaposema mwenyekiti wa ccm wilaya ya kinondoni wakili makene? mimi mbona namjua m/kiti anaitwa ARON MWAIKAMBO! Thibitisha jina la nwenyekiti ili nitiririke maana nina ukweli unaohusu ushiriki wa m/kiti wa ccm (W) kinondoni ktk sakata hili ila si kwa jina ulilotaja hapo...
Kwa nini dodoma vifaa viishe? isije ikawa hawa magamba wamepanga waharibu sensa dom makusudi ili idadi ya watu iwe feki wachakachue vizuri daftari la kudumu la wapiga kura? WAPI GREAT THINKERS
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.