Fanco Kabigi: Dreva Wa Kwanza Wa Muasisi Wa Chadema Azikwa Leo.

sasa unatuliza sisi? nadhani ulitakiwa kufanya utafiti kabla ya kukilaumu chama.....

CHADEMA walimsaidia wakati anaugua au wamengoja kuosha jina kwenye mazishi tu? Nauliza hivi kwa sababu mara nyingi familia hukataa wanasiasa iwapo wanaamini wamewatelekeza in the hour of need...
 
Kilicho kupeleka huko ni kupiga picha ulikuwa unafikiri utawakuta na wale vidosho upige navyo kama kawaida yako?

- Marehemu na hawa people tumekuwa wote hapa mjini, sijui kama na wewe ulikiuwa umeshakuja mjini!!, zile ndio zilikuwa enzi bro sio sasa!!!

Wilie
 
- niikuwepo kwa sababu franco was one of my great friend, pia was great to meet dr. Slaa and his wife, na makamanda wengine wa chadema, siasa sio ugomvi tunaweza kurushiana mawe humu na nje ya hapa, lakini bado ni one people na one nation!!

- mungu amuweke pema marehemu franco a true chadema man!!, siku za mwisho wa uhai wake he worked so hard kuwaandikisha wanachama wapya wa chadema.

william.

Naona unaivuruga tanzia na maneno yako mbofumbofu....as usual seeking for platforms to be known and seen..every one is a ''great friend'' of yours yet they don't vote for you!
 
R.I.P Kabigi, wafiwa poleni sana tumepoteza mtu wa karibu sana

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Binaadam hakuna aliyekamilika. Hata Slaa alidondoka Mwanza tena chooni na mpaka leo mkono umekuwa kilema au hujui hilo? Na yeye alikuwa kafunga kwaresima?

Mnapoanza kuzungumzia "personalities kwa kebehi mnafuta heshima yenu jamvini. Siajabu tupo hapa kwenye bora maisha kwa sababu ya fikra kama hizi.
 
Mnapoanza kuzungumzia "personalities kwa kebehi mnafuta heshima yenu jamvini. Siajabu tupo hapa kwenye bora maisha kwa sababu ya fikra kama hizi.

Ninyi ndio walimu, na mmefikisha JF hapa ilipo leo.
 
Binaadam hakuna aliyekamilika. Hata Slaa alidondoka Mwanza tena chooni na mpaka leo mkono umekuwa kilema au hujui hilo? Na yeye alikuwa kafunga kwaresima?

Pamoja na tofauti za kiitikadi, hiyo nimekupa 5.
 
- Marehemu na hawa people tumekuwa wote hapa mjini, sijui kama na wewe ulikiuwa umeshakuja mjini!!, zile ndio zilikuwa enzi bro sio sasa!!!

Wilie

R.I.P Kabigi

The Big Show hivi kipindi chenu Mbowe alishawai kuwa DJ au maneno ya watu tu humu? Teh te te te te te teh
 
Back
Top Bottom