Mgomo wa Walimu waiva; watoa notisi ya masaa 48

Waalimu wengi hawana qualifications za kukidhi kiwango! Kama walivyo askari, wengi wao walichagu fani hiyo baada ya kukosa options zingine zaidi ya hizo kutokana na viwango vyao duni vya ufaulu. hivyo basi ni kwamba serikali inawapa fadhila tu kuwalipa hata laki 3 kwa mwezi, otherwise hawakustahili hata kumi.
Wewe ni mpuuzi kweli angalia na lugha unayotumia,na usifikirie walimu wa sasa sio wa kipindi kile ukijuacho wewe kwa hyo acha kuropoka hovyo na kutumia kauli ya kejeli,hao unaowadharau ndio walikutoa matongotongo,kwa hyo chunga mdomo wako mchafu huo.
 
Waalimu na Elimu zao za kubumba bumba, wanadai maslahi. Rudini shule mkatengeneze vyeti, viwe na hadhi ya mshahara mnaodai.
 
MADHUMUNI ya MGOMO wowote ule duniani popote ni kuleta NEGATIVE IMPACT kwa EMPLOYER. Kama negative impact haitapatikana kwa employer tunaita MGOMO husika haukufanikiwa.

Sasa inakuwaje waalimu wanataka kugoma wakati shule zimefungwa? Ni negative impact gani wataleta kwa employer i.e Serikali?

USHAURI wangu kama Walimu wanataka MGOMO WAO UWE EFFECTIVE lazima wagome wakati shule zimefunguliwa. Walimu msione aibu kuwa CONSULT watu waliosemea mambo hayo.
 
Kwanza inasikitisha hata Mkoba anakubaliana na serikali kua walimu walipewa laki 5 ya mazingira magumu wakati hakuna kitu kama hicho kimefanyika,ajira mpya wenyewe mshahara wa mwezi wa pili mfano Kigoma hawajapata mpaka muda huu naandika pamoja na hela ya nauli lakn utakuta nae anakubali vitu ambavyo havijui kabisa,hapa kwetu tunasubiria hizo form zije haraka sana tujaze na hapa wakubaki labda mkuu tuu lakn walimu wote wanaunga Mgomo huu lakn kwa Mkoba huyu na mwenzie Oluoch Sidhani kama tutafika!
 
Waalimu wengi hawana qualifications za kukidhi kiwango! Kama walivyo askari, wengi wao walichagu fani hiyo baada ya kukosa options zingine zaidi ya hizo kutokana na viwango vyao duni vya ufaulu. hivyo basi ni kwamba serikali inawapa fadhila tu kuwalipa hata laki 3 kwa mwezi, otherwise hawakustahili hata kumi.
kaka hapo umeenda mbali sana,,
 
Waalimu na Elimu zao za kubumba bumba, wanadai maslahi. Rudini shule mkatengeneze vyeti, viwe na hadhi ya mshahara mnaodai.
wewe mzee labda haujitambui sawasawa,walimu wa sasa wana shule ya kueleweka kwani wengi wao wanajiendeleza kwa sasa na kama unazungumzia walimu waliosoma kama unavyosema wewe tuliosoma tu wengi kwa sasa lakn tatizo lipo kwa serikali hii ya CcM utake usitake
 
Kwanini umesubiri ishu ya SSRA iibuke ndo na wewe Mkoba uje na movie nyingine ili kutusahaulisha?
Yani madocta washindwe kugoma, afu walimu wa upe ndo muweze?

Mbona vijana wenge tu form six hawana ajira, situnawabadili tu, afterall majina yenu kwenye payroll yameandikwa kwa chaki tu.

Mbona kila siku mnatoa matamko ya kugoma na hamgomi?!

Mkoba unatumika na serikali, ili wafanyakazi wa umma na watanzania vichwa vya panzi wasahau ishu ya SSRA.
 
Hamna kitu hawa, watingisha kiberiti tu hawa wakihongwa wakapewa hata laki wanaona wamemaliza, shule za kata ziboreshwe hakuna matokeo yake elimu mbovu/duni form1 mwanafunzi kafaulu ila hajui kusoma wala kuandika akifika form4 division0 ajira ya juu kabisa kuendesha toyo matokeo tabaka walio nacho na wasio nacho watawala na watawaliwa.

Unazaliwa masikini unakufa masikini tatizo ni msingi uliotengenezwa na mfumo wa viongozi waliochoka kuongoza kama hawa tulionao sasa
 
unaongelea ****** ama. ustake nikakudharau kwa namna ya ajabu kijana. wewe kwangu hustahili hata kulisha nguruwe na bukini wangu. tena nikikuonyesha vyeti na kipato changu halali ninacholipwa kama mwl hata kufuta gari yangu asubuh huqualify. eti tunapewa fadhila wafikir sisi ni kama wewe? umezoea kubebwa bebwa hovyo. ndo maana huna marinda wewe.

Mmm kumbe na wewe huwa unakasirika?
 
Waalimu wengi hawana qualifications za kukidhi kiwango! Kama walivyo askari, wengi wao walichagu fani hiyo baada ya kukosa options zingine zaidi ya hizo kutokana na viwango vyao duni vya ufaulu. hivyo basi ni kwamba serikali inawapa fadhila tu kuwalipa hata laki 3 kwa mwezi, otherwise hawakustahili hata kumi.

kweli akili yako inaelekea kuhamia matak*ni kutokana na kauli yako inaonekana hata ufaulu wako ni duni tena wa kuunga unga umesahau kuwa hata wewe hapo ulipo hao hao walimu anao wananga ndo walokufikisha hapo kima wewe unaongea utadhani umetoka kushikishwa ukuta tena nahisi ndipo uliko toka.kweli masikin akipata matak*o hulia mbwata.
 
wewe mzee labda haujitambui sawasawa,walimu wa sasa wana shule ya kueleweka kwani wengi wao wanajiendeleza kwa sasa na kama unazungumzia walimu waliosoma kama unavyosema wewe tuliosoma tu wengi kwa sasa lakn tatizo lipo kwa serikali hii ya CcM utake usitake

Hili ndilo tatizo la watu wanao tegemea kupewa kati na ndugu zao hawajui hata elimu ilivo na ndo mana hadi leo MZEE hajui kama walimu wasasa wanaelimu kubwa kuliko hata yeye aliye ungaunga vyeti na kupata hicho kikazi kinacho mpa kiburi na amesahahu kuwa hata yeye hapo alipo mwalimu huyu huyu anaye mnanga ndo aliye mfikisha labda kama hakusoma kabisaaa hivyo hajawahi kufundishwa na mwalimu yeyote yule.

Na hilo linadhihirika kwa kauli yake ambayo inaonesha dhahiri kuwa hata shule hata na kama anayo ndo ile ya kuunga unga haya nenda kasikishwe tena ukuta ili upewe Phd.
 
Hapa ndiyo mahakama huwa zinafanya kazi hata usiku wa manane. Nakumbuka mgomo wa awali mahakama ulitoa pingamizi la mgomo usiku na baadaye Rais wao akatangaza kuusitisha. Ngoja tuyahesabu hayo masaa 48.
 
Tulidha zoea kusikia porojo za waalimu, masaa machache kabla ya mgomo wana goma ku goma!! kama this time wako serious Basi MUNGU awatangulie, lakini je mabwepende wamejiandaa nako???
 
Walimu ni waoga na hamuwezi kugoma kamwe,kitakachotokea ni serikali kwenda kuweka court injuction na nyie mtabaki kulalamika siku zote,mi nashauri muwe na jumuiya ya walimu badala ya CWT ndo mtaweza kugoma
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom