Ujasusi ni kipaji, Ujasusi ni ajira.
Unaweza ukawa na kipaji cha ujasusi na usiajiriwe kwa KAZI hio moja kwa moja inagawa itakusaidia kwenye maisha yako kila siku.
Pole. Ila hujaelezea vyema vitu vingi, mfumo wa sasa una timu na wataalamu wa ngazi mbalimbali. Kiufupi wanatathimini uhalisia wa biashara husika, andiko la mradi na uwezekano wa hio biashara kurejesha kulingana na kilichoombwa.
Uzuri ni kwamba atarejesha kiasi alichopewa tu.
Sijasoma UZI wa "wanawake muache ushirikina sijui uchawi" hata heading siiikumbuki.
Kuanzia sasa anzeni kusali/kuomba pamoja kwa IMANI yenu.
Na ikifika hio hatua ya kusalitiwa sambamba na hatua zote, MUOMBEE/FANYA Maombi kwa niaba ya NDOA yenu.
Ikishindikana hapo ANZA upya maisha pasina huyo...
Kinachofanya kuwe na gharama kwenye HARUSI ni nini mpaka muhusika achangiwe?. Sichangii HARUSI. Naamini muhusika alipaswa kujipanga namna sherehe yake itakavyokuwa kulingana na uwezo wake.
Sio uungwana unapiga hesabu zako za bajeti alafu unatafuta watu wakukufikisha kwenye lengo. Hata kama...
Asipobadilika ndio tumeagana hivyo na akiamua na yeye kuchepuka basi kila mtu ataenda kwa chaguo lake jipya. Pengine ndio ilipaswa kuwa hivyo.
Mazungumzo na nasaha zikifeli penzi linakuwa linaenda mrama.
Situmii nguvu ila siwezi kuchagua maumivu.
Na cheat kumuonyesha mwenza kuwa maisha yanaweza kuendelea bila uwepo wake.
Na hii ni pale nasaha zipogonga ukuta naamini kuwa anataka kufunguliwa mlango wa kwa heri.
Akibadilika, michepuko bye bye 👋
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.