ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 15,161
- 35,358
- Thread starter
- #221
Utulie sasa😎Yeah, sasa niko huru.
Utulie sasa😎Yeah, sasa niko huru.
Nitatulia na sitachepuka tena.Utulie sasa😎
Ulikuwa unatumia fekero gan😎Nitatulia na sitachepuka tena.
Fekero nini mkuu 😅.Ulikuwa unatumia fekero gan😎
Parody mkuu.Fekero nini mkuu 😅.
Dah! Nilikuwa natumia IDs kumi kwa wakati mmoja. Hii ni baada ya kughadhabika.Parody mkuu.
Na uhakika ulikua hupati ladha😅Dah! Nilikuwa natumia IDs kumi kwa wakati mmoja. Hii ni baada ya kughadhabika.
Kule nilijikita zaidi katika kuhubiri injili, kutoa ushauri nasaha, pamoja na kuwaasa vijana wanajaribu kukengeuka jukwani.Na uhakika ulikua hupati ladha😅
Ulikua unatapatapa
Asipobadilika ndio tumeagana hivyo na akiamua na yeye kuchepuka basi kila mtu ataenda kwa chaguo lake jipya. Pengine ndio ilipaswa kuwa hivyo.Kwanini unatumia nguvu kumuonesha hivyo hivi unadhani inasaidia?
Hua unapata furaha au una mkomoa
Vp asipobadilika na yeye akatafuta mchepko?
Kumbafuuuuu wewe ndegeKule nilijikita zaidi katika kuhubiri injili, kutoa ushauri nasaha, pamoja na kuwaasa vijana wanajaribu kukengeuka jukwani.
Fayaaa 🔥Kumbafuuuuu wewe ndege
😢😢😢Asipobadilika ndio tumeagana hivyo na akiamua na yeye kuchepuka basi kila mtu ataenda kwa chaguo lake jipya. Pengine ndio ilipaswa kuwa hivyo.
Aisee ni kweliMazungumzo na nasaha zikifeli penzi linakuwa linaenda mrama.
Pole brother 😢Situmii nguvu ila siwezi kuchagua maumivu.
Na tuseme amenFayaaa 🔥
Aimen (Kwa sauti ya Josephat Katunzi).Na tuseme amen
Et mdogo wako atakua kanizidi🙄😂😂😂
Kweli vile kakuzidi aisee maana kuna siku niliingia kule selfika nikakuonaEt mdogo wako atakua kanizidi🙄
Kule tuna haribu uzi
Mimi au 🤣🤣Nasikia kwenye sources za ugaidi na huu mtandao umetajwa, please ninPM nipate mawasiliano yako kabla haijawa tatizo.
Ni tetesi na uzi umewekwa