Why Do You Cheat?

Why Do You Cheat?

Mambo ya Malovee 😊

Sometimes watu walio penzini au kwenye ndoa hujikuta tu kwenye mtego wa cheating

Wengine huja na visingizio au sababu mbalimbali

Mwingine anasema, Sipewi hata nikiomba kwa chozi
😀 Basi anajikuta amecheat

Mwingine anasema, Mume haniridhishi
Akipiga kimoja cha kuku, anakoroma mpaka asubuhi🙄

Mwingine anasema,
Nilitaka kupata experience

Kuna rafiki yangu aliolewa akiwa bikra

Kadiri alivyokuwa akikaa na kusikia wanawake wakihadithiana mambo ya jigijigi, na ukizingatia mume alikuwa na maudhi, akaamua kutaka kupata experience huko nje

Japo anasema hakuna furaha yoyote aliyopata zaidi ya kujutia tu

Sasa wewe unadhani cheating inasaidia au inabomoa kabisa pale penye ufa?

Nini kilikufanya uka-cheat?

Unajutia?

Umeacha au bado unaendelea?

Huwa hujisikii vibaya ukimcheat wa ubani?

-Au hujawahi kabisa?

Friday night 🤗
ShesRise_1 ✋️

Na cheat kumuonyesha mwenza kuwa maisha yanaweza kuendelea bila uwepo wake.

Na hii ni pale nasaha zipogonga ukuta naamini kuwa anataka kufunguliwa mlango wa kwa heri.

Akibadilika, michepuko bye bye 👋
 
Na cheat kumuonyesha mwenza kuwa maisha yanaweza kuendelea bila uwepo wake.
Kwanini unatumia nguvu kumuonesha hivyo hivi unadhani inasaidia?
Hua unapata furaha au una mkomoa
Na hii ni pale nasaha zipogonga ukuta naamini kuwa anataka kufunguliwa mlango wa kwa heri.

Akibadilika, michepuko bye bye 👋
Vp asipobadilika na yeye akatafuta mchepko?
 
Kwa sababu Mzee mmoja ninayemheshimu na kumwamini hapa mtaani aliniambia, "mwanangu wanawake wantofautiana utamu", nilipojaribu nikaona ni kweli.

Yaani nakuambia hadi Leo hii naendelea kuchiti tu. Siwezi kula chakula kilekile, I need balanced diet.
Aisee wewe tumechelewa
Kumbuka kinga kaka
 
Back
Top Bottom