Recent content by Mtembea_peku

  1. Mtembea_peku

    JamiiForums Tanzania Polisi..

    lini waliambiwa mafunzo yanaanza
  2. Mtembea_peku

    JamiiForums Tanzania nafasi za kazi bandarini

    ha ha ha mstimu wa umeme teh teh ..serious ndugu zangu changamkeni kazi hizo.
  3. Mtembea_peku

    JamiiForums Tanzania Polisi..

    hapo mwana ni kufinalize mambo n kwenda mafunzo hakuna interview za suti na tai ....msoto wa ccp vp n vyeo vya wenye digrii kwa polisi na uhamiaji wanaanzia wapi?na mshahara ukoje
  4. Mtembea_peku

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi national audit office(nao)

    mtiti wa hapa c mchezo nafasi mia bt applications buku mbili mchakato wake mungu saidia..bt msikate tamaa tujaribu bahati yetu wahasibu.
  5. Mtembea_peku

    JamiiForums Tanzania Polisi..

    hapo mwana ni kufinalize mambo n kwenda mafunzo hakuna interview za suti na tai ....msoto wa ccp vp n vyeo vya wenye digrii kwa polisi na uhamiaji wanaanzia wapi?na mshahara ukoje
  6. Mtembea_peku

    JamiiForums Tanzania Msaada plz..Moderm imegoma kufanya kazi after trying to unlock it n failed.

    thanx jf nimesoma thread kibao n nimelearn alot nimeiflash n install join air now inapiga mzigo kama aina akili nzuri ..line zote twende kazi..
  7. Mtembea_peku

    JamiiForums Tanzania Msaada plz..Moderm imegoma kufanya kazi after trying to unlock it n failed.

    nimekuwa natumia moderm ya voda vodafone k 3570 z na zantel baada ya kuona gharama ni kubwa na huawei za zantel hazichakachuliki coz hazina Imei nikaamua ni unlock moderm ya voda kwa kutumia dc unlocker V 540 bt zoezi lilifair coz siku sikupata majibu ya kuridhisha so nikaamua nirudi kuendelea...
  8. Mtembea_peku

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Chadema yatishia Serikali ya CCM madarakani

    CHIPAKA who !?
  9. Mtembea_peku

    JamiiForums Tanzania Picha-maandamano chadema kahama ni nooooomaaaa

    mkwere anapata wenge now..kila sehemu pipo nyomi...mpaka kieleweke...naona sasa ataanza kutoa hotuba kila wiki c mchezo watu kila kona wanampinga na kumshangaa nani alimpigia kura?
  10. Mtembea_peku

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe Aja Na Yake Ktk Face Book

    tundu la panya halizibwi kwa mkate..ndio basi tena chichiem.
  11. Mtembea_peku

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa Mhe. Lema kuhusu Pinda kuongea uongo Bungeni

    pinda angemwaga chozi pale spika kaepusha mengi kutaka lema asisome mbele ya bunge bt thy must make sure spika anatoa maamuzi sio kuukalia ushaidi.
  12. Mtembea_peku

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuandamana Mwanza Feb 24; kupinga ufisadi, JK ajiuzulu

    maandamano yameanza watu ni wengi na pikipiki za kufa mtu sijui zimetoka wapi bt shughul zimesimama na watu wametoka maofisini wakipiga picha na kushangaa..na mabango ya kila aina..picha badae kidogo.sijui kama furahisha uwanja utatosha.
  13. Mtembea_peku

    JamiiForums Tanzania Looking for a husband

    umri again...nafiti kote na bonus juu bt userengeti boy unaniangusha....
  14. Mtembea_peku

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mume 33-40 age

    mushjack nimefit in every aspect bt umri hapo ndio shida.,nitakuwa serengeti boy..ol the best.
  15. Mtembea_peku

    JamiiForums Tanzania Chevening Scholarships for Tanzanians

    thanx ..mkuu
Back
Top Bottom