kipipili
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 1,587
- 188
kuifuta chadema itakuwa 'ngumu kumesa, ngumu kutema'yap,uko sawa kabisa .waswahili wanasema ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni,na penye nia pana njia.cmd sio vilaza kama CCM.
kuifuta chadema itakuwa 'ngumu kumesa, ngumu kutema'yap,uko sawa kabisa .waswahili wanasema ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni,na penye nia pana njia.cmd sio vilaza kama CCM.
Teh teh............uwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Haya mkuu naanza week end
Ndugu zangu wanachadema, ni ukweli usiyofichika kwa sasa, serikali iliyoko madarakani(C**) imepagawa, haijui nini ifanye na wapi ikimbilie, hakika imeshikwa pabaya, hali ni tete. Kwa kuwa hala hala mti na ……………, na pia kifo cha nyani yawezekana akakurukia hata usoni
Nina angalizo kwa haya yafuatayo kwa siku chache zijazo
(i) Kama Tendwa (msajili wa vyama) atalazimishwa na bosi wake kukifuta chama cha CHADEMA kwa maslahi ya Taifa, je sisi wafuasi tufanyeje kwa hili
(ii) Kama viongozi wa CHADEMA watashitakiwa kwa kesi za uhaini, mimi na wewe tunafanyeje?
(iii) Mwisho kama vyombo vya habari vitaendelea kuchonganisha CHADEMA NA serikali hapa wewe unafanya nini?
Ndugu zangu msisahau kuwa tumewakamata nyeti zao ni vilio hivyo yakitokea haya tunafanya lipi? Toa ushauri kadiri utavyoweza.
Mbinu inayotumiwa na wanasiasa dhaifu wa CDM za kupanda na kusambaza mbegu chafu kupitia mikutano ya hadhara ktk kanda ya ziwa zimzidi kupondwa na wanasiasa wengine wa Tanzania. Baada ya jana, leo hii mwanasiasa mkongwe CHIPAKA na waziri mkuu PINDA wamewakosoa CDM na kuwaasa waache mchezo mchafu.
CHADEMA kwa sasa sio chama cha siasa tu bali ni harakati zilizopo ndani ya mioyo ya watu.Kukifuta ni sawa na kukibadilishia tu jina.mimi na wewe tutabaki walewale.serikali isipotimiza wajibu wake madai yetu yatabaki yaleyale.CHADEMA kikinyamaza mawe yataongea.