Polisi..

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,328
23,879
Sijui if this is allowed lakini ni muhimu kujua..
nimesoma sana vitabu kuhusu getting ready for an interview, jinsi ya kubargain for salary, maswali unayoweza kuuliza au kuulizwa etc..kwenye makampuni, benki, academic institutions, etc..
Lakini juzi kaka yangu kapigiwa simu na jeshi la polisi aliapply nadhani mambo ya computer ameitwa kwenye usaili..
swali ni je, kwa taasisi kama hiyo,ni mambo gani atarajie? maswali gani? dress code? etc..nitashukuru kwa msaada wenu..
Plus, ni mara ya kwanza nimesikia watu wanaitwa usaili siku ya Jumamosi, je hili linaweza kuwa ni indication ya nini?
Mbarikiwe and thanks to JF mmaana hilo tangazo la kazi alilipata humuhumu!!!
 
Sidhani kama kuna shida eti kuitwa j'mosi kwa interview, awe tu smart na aende na muda, is better kama interview ni saa nne saa tatu awe pale ccp
 
hongera. Vaa casual. Chomekea . Suruali viatu na shati la mchina. Simu ya laini tatu then weka rington ya kali P

Sio vizuri kuto comments kama hizi mtu anaomba ushauri bor aumpe kulko kumletea jokes. Haipendezi kwa ma great thinkers..!
 
Sidhani kama kuna shida eti kuitwa j'mosi kwa interview, awe tu smart na aende na muda, is better kama interview ni saa nne saa tatu awe pale ccp

ccp Tena kaka....hahahahah!!! i know wat u r thinking....
ameitwa makao makuu ya polisi Dar, ambayo mpaka sasa hajui yako wapi. msaada wenu pia utasaidia....
 
Lazima ajiandae kwa maswali haya
1. JIELEZEE (tell us about yourself)
2. Elimu yake/Ujuzi wake utalisaidiaje Jeshi la polisi

alafu kama ana tattoo hiyo inaweza kuwa mbaya kwake, si unajua jamaa hawaruhusu kabisa tattoo mjengoni
 
duh navyoelewa watamshawishi apite CCP ili awe polisi ktk kitengo hicho walichomuitia.mambo yatakuwa ya kawaida sana ila ategemee ushawishi wa kuwa kuruta.
 
Imenibidi niishie kucheka 2. Nawashukuruni kwa kuniongezea cku za kuishi, nilikua napita 2 kuwajulieni hali. Ama kweli hii ni jf zaidi ya uijuavyo.
 
Hakuna interview huko, unaenda kupewa utaratibu wa kwenda CCP Moshi. Kuna vipimo vya kutosha, labad hivyo ndio vitakuondoa. Narudia tena, hakuna mahojiano(interview) huko.
 
Hakuna interview huko, unaenda kupewa utaratibu wa kwenda CCP Moshi. Kuna vipimo vya kutosha, labad hivyo ndio vitakuondoa. Narudia tena, hakuna mahojiano(interview) huko.

Mkuu, ina maana hakuna haja ya kuvaa suti? Halafu tumeuliza watu baadhi wakasema siku hizi kuna option ya kuchagua ufanye kama civilian ama uende mafunzo. sijui kama hili lina ukweli!??
Na hili la vipimo, ni polisi am jeshini? ama ni kotekote? maana kaka kaitwa polisi...na je, ni vipimo gani haswa mpaka useme vitamshinda?
Niliambiwa kuna mashindano ya kukimbia, hilo sidhani kama ni tatizo kwake...UMITASHUMTA na UMISETA vilikuwa vitu vyake...!!!(oh..how I miss those good old days...)
 
Lazima ajiandae kwa maswali haya
1. JIELEZEE (tell us about yourself)
2. Elimu yake/Ujuzi wake utalisaidiaje Jeshi la polisi

alafu kama ana tattoo hiyo inaweza kuwa mbaya kwake, si unajua jamaa hawaruhusu kabisa tattoo mjengoni

Shukrani mkuu...tatoo hana! unajua kuna mtu aliniambia hakuna interview ya mmoja mmoja...mwendo ni group....
 
duh navyoelewa watamshawishi apite CCP ili awe polisi ktk kitengo hicho walichomuitia.mambo yatakuwa ya kawaida sana ila ategemee ushawishi wa kuwa kuruta.
sio ushawishi ni lazima, kama interview ni kurasini basi lazima atapitia CCP ingawa hii sio issue sana, sijui ye ataichukuliaje hii ni kawaida sana, tena ni privilege
 
hapo mwana ni kufinalize mambo n kwenda mafunzo hakuna interview za suti na tai ....msoto wa ccp vp n vyeo vya wenye digrii kwa polisi na uhamiaji wanaanzia wapi?na mshahara ukoje
 
Wakuu nijuavyo anapaswa avae smart,yani tai,na nguo simple but smart. Pia awe amenyoa nywele fupi ila si kipara ,kama ni mdada basi hata asuke. Kuhusu kwenda ccp hasitegemee kwani kazi professionals unaweza kwenda bila mafunzo. Ila kama yangekuwa mafunzo wangeitwa kwa utaratibu wa kipolisi. Ikumbukwe kuwa simati haijalishi ni kazi gani,hata kama unaomba kuzibua mitaro siku ya interview uwe smart sio kuja na makoleo,buti au raincoats hapana,give good first impression. Hapa namaanisha Be Smart.
 
Ajiandae tu kuulizwa maswali general yahusuyo usalama,elimu yake na nini kimemvutia kufanya kazi na Jesh la polisi..ccp is a 'must' lakini asihofu hakuna jipya kule,best wishes!:phone:
 
hapo mwana ni kufinalize mambo n kwenda mafunzo hakuna interview za suti na tai ....msoto wa ccp vp n vyeo vya wenye digrii kwa polisi na uhamiaji wanaanzia wapi?na mshahara ukoje
 
Mwana ngoja nikupe majibu sahii, CCP ni Chuo Cha Polisi, na interview ni general kama ulivyoambiwa na wana JF, tell us about urself, how do u think u as a police U can help people in community? Na ni machache tu then sehemu ya pili ni kucheck ur health i.e HIV, na magonjwa mengine ya zinaa kwa akina dada kuna kupima afya including pregnance na tatoo.
Sure CCP ni MUHIMU no way na ni 6months. Nina uthibitisho pekeyangu na niliwaambia apa nilipotoka kwene interview kama mnakumbuka.
CHUKUA CHAKO POTEA, Teheee teheee jamani te he!
 
Back
Top Bottom