Recent content by Mtanzanite

  1. Mtanzanite

    Chuo Kikuu cha kumbukumbu ya Sebastian Kolowa chaendeshwa kama sekondari

    Ni chuo kikuu cha kumbukumbu ya Sebastian Kolowa maarufu SEKOMU, kimeendelea na taratibu zake kuendesha mambo katika hali isiyokuwa ya kawaida kwa vyuo vikuu duniani. Mojawapo la kushangaza ni hili la kuendelea kuwa kimya na kuacha hali ya sintofahamu katika fikra za wadau wa chuo hicho. Hii...
  2. Mtanzanite

    Lema apigwa na kuumizwa vibaya na polisi

    Dah....hizi siasa za Bongo sasa itabidi kujipanga kwanza kabla ya kuthubutu.
  3. Mtanzanite

    Voda siwaelewi

    Mmmhhh kweli hili nalo neno nami ngoja yangu ninene....eeh bhana hawa wana wa voda wana vioja kweli watufanya sie wana wa vichaa nimevumilia sana toka 2002 mpaka leo nmavoongea lakini sasa maji kwenye shingo yashanikaa sina budi kuhamia nami naridhia miaka kumi na moja ya mateso si haba naombeni...
  4. Mtanzanite

    Mikopo kwa vyuo vya nchi za nje e.g uganda

    Umefikia kiwango cha kusoma mastaz na phd hujalijua hilo.... Kweli hii ndo...... WELCOME IN TANZANIA!
  5. Mtanzanite

    Usirogwe ukaoa nyumba ndogo

    Elewa mada kwanza kisha uchangie Na ni vyema zaidi ukaelewa kwanza maana ya nyumba ndogo. Kwa ufupi tu kuna tofauti kubwa sana kati ya nyumba ndogo na mke wa pili! Hebu tafakari hata hayo maneno mawili tu.....KIMADA a.k.a(mwizi) na MKEa .k.a (mwenye mali) Akishaitwa mke wa fulani ndugu yangu...
  6. Mtanzanite

    Mdau mpya

    Karibu sana na pia kama kweli una hitaji kujifunza basi kuwa tiari kubadilika!
  7. Mtanzanite

    TV za Kenya ni za Kizalendo

    Sina uhakika kama we ni mZalendo wa kweli na kama kwwli unaguswa na upuuzi wa baadhi ya vyombo vyetu na hasa hivi vya umma.... Swala aliloliongelea mdau ni la kweli na linagusa si swala la kujifanya una majibu mengi ya mkato kwani ni lazima kuchangia mada!
  8. Mtanzanite

    Nigerian politicians brawl in parliament over PDP split

    Source: BBC Wabunge wa Nigeria wapigana bungeni 18 Septemba 2013 10:18Wabunge wa bunge la waakilishi Nigeria wamerushiana ngumi wakati wa vikao vya Jumanne baada ya kuzuka bungeni suitofahamu kuhusu mrengo wa wabunge waliojitenga na chama tawala. Taarifa hizi ni kwa mujibu wa vyombo vya...
  9. Mtanzanite

    Utafiti waonyesha watanzania hawana furaha kabisa!

    Vimehorodheshwa vigezo vinavyotumika kujua wananchi wa nchi fulani kama wanaishi kwa furaha ama la na hivyo ni vigezo sita vimebainishwa katika report hiyo ukisoma kwa makini nadhani utavielewa mkuu....usitegemee kuona ama kusikia kipimo hicho kikifanana na kile cha kupimia malaria ama...
  10. Mtanzanite

    Utafiti waonyesha watanzania hawana furaha kabisa!

    Sijaona unashangaa nini mjomba kuhusu Ethiopia wananchi wake kuwa na furaha kisa wanafanya kazi za ndani uarabuni...kumbuka hilo ni jambo la kujipatia kipato tu na wala hawajakimbia nchini mwao kwamba labda hakuna amani la hasha ni kwasababu ya kutafuta ajira tu. Kama ingekuwa hivo basi...
  11. Mtanzanite

    Utafiti waonyesha watanzania hawana furaha kabisa!

    New York, Marekani Utafiti uliofanywa kubaini nchi zenye furaha duniani umeonyesha kwamba Watanzania ni watu wasio na furaha ikilingamishwa na nchi nyingi hata zilizo katika machafuko na vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa muda mrefu Katika ripoti hiyo ya World Happiness Report 2013, Tanzania ni...
  12. Mtanzanite

    Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

    Ninaungana kabisa na wewe na pia nakumbuka maneno ya padre mmoja hv sitaki kumtaja jina katika tukio la bomu Arusha aliwahi kusema maneno hayo hayo kwamba...kuna uwezekano mkubwa sana kwamba matukio yote yanayotokea nchini juu ya kuwadhuru wakristo au makanisa haywahusu waislamu au uislamu kwa...
  13. Mtanzanite

    Je Inakuaje, na Kinga lakini mtu kapata Mimba.

    Ishu sio kutumia condom ukashangaa mimba....hapo ndo utapata ukweli kama uko peke yako au vp inawezekana we unajali lakini mwana mtandao mwenzako hajui hayo ye anakamua dry so hilo sio la kushangaza hapo umeingizwa town kaka subiria mtoto utapata jibu kamili...kika la kheri baba mtarajiwa NB...
  14. Mtanzanite

    Nataka kujua: Kuna faida au maana gani ya kuongeza idadi ya mikoa na wilaya Tanzania

    Bila challenge huwezi kujifunza kwa mtu anayetaka kupata elimu lazima akubaliane na changamoto. Najifunza vyema kutokana na changamoto hizo na ndo maana najifunza. Na kwa hili la "naomba" tutaendelea kuwa watumwa na ombaomba milele" inaonyesha ni jinsi gani hatuko makini hata pale tunapojiweza...
  15. Mtanzanite

    Nataka kujua: Kuna faida au maana gani ya kuongeza idadi ya mikoa na wilaya Tanzania

    Daaa nililitegemea sana hilo nashukulu kwa kuliona na kuliweka wazi big up jembe..
Back
Top Bottom