Voda siwaelewi

Voda siwaelewi

Mmmhhh kweli hili nalo neno nami ngoja yangu ninene....eeh bhana hawa wana wa voda wana vioja kweli watufanya sie wana wa vichaa nimevumilia sana toka 2002 mpaka leo nmavoongea lakini sasa maji kwenye shingo yashanikaa sina budi kuhamia nami naridhia miaka kumi na moja ya mateso si haba naombeni airtel mlango kufunguliwa.
 
Mbaya zaidi wameweka tangazo lao la konsistensi kommunikeshen!Wapi?Ila nikipata nauli mjini nitakufuata.
 
Poleni na majukumu ya kila siku wana jamii forums. Hapa sipigi promo wala kuharibu biashara ya mtu Hawa jamaa wanaojiita vodacom nimeshindwa kuwaelewa kiukweli mara ya kwanza walikuja na cheka ya 900 ilikuwa inadumu kwa muda wa siku mbili baadae sijui wakawashwa na nini wakaiondoa ikawa inadumu kwa masaa 24 huku wakiongeza mb na dakika sasa nnachoshangaa sa hizi hiyo cheka haipo kabisa nikitaka kujiunga naambiwa cheka ya 900 haipatikani naambiwa nijiunge na cheka ya mia 600. Tatizo ni kwamba mnatuyumbisha mno nyie jamaa nilihama kwa wenzenu tigo unanunua Extreme halafu wanakupangia matumizi ya dakika za kupiga ndani ya mtandao na nje. huwezi mpa mtu hela halafu ukampangia matumizi nikabwagana nao sasa niko njiani kuelea Airtel mana yatosha yao ya 990 ina nishawishi sana
BYE BYE VYODA NA UBABAISHAJI WENU

Hakuna mtandao wa wizi kama vodacom. Najuta kuifahamu voda.
 
Labda uende Tigo, airtel sikushauri...ni balaa zaidi ya voda! Mi hadi nimelalamika leo.....hawa jamaa ni pasua kichwa nouma
 
vodacom ni wababaishaji kwa hili, imekula kwao.....! Tigo wana kitu cha 990 dak 40, Airtel nao wana kitu cha 1.5 Gb. Bye bye voda

Tigo wana 890/= kwa dk60 na GB1
 
Airtel upuuzi wao kuna baadhi ya web haifungui, nilijaribu kufungua Mzalendo forum zaidi ya ×900 imekataa kufungua, nipo tiGO kwa sasa nao wakiniboa naangalia utaratibu mwingine
 
Back
Top Bottom