mda umefika watanzania tuingie street na kumtoa mkwele as nchi imemshinda na ufisadi ndio unaongza...wadanganyika tuamke tuingie street and push the guy out..
Tuna unga mkono asilimia 100 mda umefika mafisadi wakabizi nchi!!!wamekosa uruma na haya ata kutuacha omba omba......Egypt wameweza kwa nini sisi tunaogopa kuchukua maamuzi magumu!!!ccm haita mkomboa mtazania daima.......
hhahahhahahha......kweli TANGAGIZA kunamambo sasa kwa manufaa ya watu binafsi historia inapotezwa!!!!kesho ukisikia ikulu inabomopewa tusishangae hata kidogo......ni nafikiri tunasehemu nyingi tu za kujenga mji mpya wa dar.kila kitu kipo posta tumeshindwa tatua swala la foleni kuingia city...
Big up chadema na ndio mwanzo wa uhuru wa kweli....kama wana arusha walichagua mtu sawa tuone ila kama ni chama mda umefika watanzania tuamke na kudai haki inayo potea kila siku kwa mafisadi...hao walikuwa magamba warudi huko na sisi tujenge chama na imani kwa wananchi......tujenge taifa letu...
Mi naona nitabia ya mtu tu..as hata hao wanao kuja owa nyumbani bongo after papers wakija na walembo wao hapa baada ya mda utasikia wameashana kisa mnageria kaingia....tuache kuwa na uoga wamaisha nakutegemea kwa kuwa umeowa mzungu basi wewe umasikini basi....tuache kuwa wabaguzi ata hao dada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.