Recent content by Mtanzania makini

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumeingiliwa, kuna magaidi kutoka nje ya nchi

    Orodha mtu yoyote anaweza kutayarisha na kusema anayo, cha msingi ni huo ushahidi usio na wasi wasi ndiyo haujawahi tolewa unasemwa tu kwenye forums kama hizi, toeni ushahidi watanzania wauone ili waufanyie kazi. Tanzania ya leo si ile ya 1984 wala ya 1962. Hao uliowataja kuwa wanatumiwa wana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumeingiliwa, kuna magaidi kutoka nje ya nchi

    Una ushahidi wa tuhuma hizi? ushahidi ambao unaweza kupelekwa mahakamani na siyo feelings au hear say
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hallo guys

    Karibu sana erasto, tumia muda kidogo kufahamu mazingira, halafu endelea
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hello!

    Karibu zaidi ya sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Salamu wanaJF!

    Usijali, 'there is always a first time'
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mnikaribisheni

    Karibu sana Calvinali, jisikie nyumbani (black, Indian, white, coloured, .......) we all the same, karibu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Am coming home.

    I hope you are 'born again'
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

    Kama wakristo wa Tanzania nao hawayaoni matatizo yaliyoelezwa kwenye post hiyo kama wewe, basi Tanzania tumekwisha. That's all I can also say.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

    Hivi kumbe hili ulilosema kwa rangi nyekundu mnalijua? mbona hamlipingi miaka yote hiyo ila mahakama ya kadhi na sensa ndiyo mnaona hela ya walipa kodi inatumika kuhudumia dini. Kuna nini nyuma ya pazia mpaka hili mnakubali tena kiulaini?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

    Hiyo ndiyo mojawapo ya tofauti kati ya waislamu na dini nyingine, kama huwezi kufanya research basi hata kufuatilia vyombo vya habari huwezi? nani kakwambia kuwa Somalia wanauana kupitia makadhi? au ndiyo ile ile tabia yenu ya kufikiri na kusema kiudini zaidi halafu hamjioni?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Punguzo gharama uunganishaji wa Umeme- Live From Bungeni

    Itasaidia kidogo, tatizo ni kwamba wana inflate cost kiasi kwamba wanaongeza uzito wa kupata huduma hii muhimu. Tshs 696,000 kwa nguzo mbili, zikiwa tatu, nne hatujui itakuwa kiasi gani, plus rushwa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Eng. Muhando na mabosi wake: Siri yafichuka, anaeimaliza TANESCO NI JK

    Kama nyepesi nyepesi vile.........
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vigogo wagawana viwanja vya Gezaulole

    mwabakuki you've said it all, Godbless you
  14. M

    JamiiForums Tanzania HATAKI nimguse, eti anaangalia Tamthilia.

    MwanajamiiOne kiasi nakubaliana na wewe kuwa akija mwandani wako na akifanya mambo yakiutu uzima basi attention yako itahamia kwake. Lakini wakati mwingine wanawake hamtabiriki just bila sababu ya msingi unakuwa mgumu tu, mikela kuwa mvumilivu maliza mwezi wa tano halafu muombe tena kama bado...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    Point well said, naungana nawe mkono katika maneno niliyoweka rangi nyekundu. Wengi humu ndani wanadhani kutoa maneno ya kejeli na yanayoudhi ndiyo watabadili view point ya wengine kumbe si kweli. Kama upande mmoja unavyoona kwamba wao walifanya juhudi ndiyo maana wakafikia maendeleo waliyonayo...
Back
Top Bottom