HATAKI nimguse, eti anaangalia Tamthilia.

halafu mikela nakuonea huruma huyo mkeo uliyempata aisee kama sikosei ni wewe mwaka jana ulika kulalamika na thread ya mkeo kuvunja vyombo vya ndani kisa kununa inaelekea mkeo ana gubu sana yakikushinda vua gamba mwaya,usiishi for sononeko for the rest of your life,maisha mafupi haya.....
 
MJ1 macho huwa yanafumba banaa :) na hata kama ataweza kuyafungua basi concentration ya kuangalia nini kinachoendelea katika mechi ya kwenye TV huwa ni sifuri.

Baby...............Ye kasema anaangalia mechi na hajasema anaconcentrate kwenye mpira (Of which kitakachofuata ni ...kama waconcetrate mtihani ni lini?0
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hapo ndipo utamu unapokolea BAK; LOL
Unajua ushauri wa MJ1 na King'asti hapo juu unahusu sana, anatakiwa awe mbunifu kiasi kwamba mama aone tamthilia ni nini mbele ya mahunjumati ya dadii; he must be so boring that mdada anaprefer tamthilia than intimacy na mumewe!
Aksante Da Kaunga, umelidadavua haswa!
Unless ni wale wa vululuu vululuu....anataka mkewe achojoe, atumbukize kisha akorome! Mie sipati picha eti naangalia Precious Passion kisha kaja mwandani, kagusa na kuchezea forbidden pearl bado nina nguvu ya kuresist?? Unless nimeichezea kabla!
 
Chomoa cable ya TV apate giza au chenga, nini bwana HAKUIJIA HICHO....!!

Na kama hapayi ALICHOIJIA, hata akichomoa cable, wife atapata interest nyingine.........ataanzasoma novel za Daniel Steel....Je atachomoa macho???!!
 
Mwache aangalie tamthilia zake wakati wewe kwa bedroom "unaunoa"!! Tatizo wengi wetu tuna papara ndomana tukianza kula chakula cha usiku ndani ya dk.5 tunacheua

Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Na kama hapayi ALICHOIJIA, hata akichomoa cable, wife atapata interest nyingine.........ataanzasoma novel za Daniel Steel....Je atachomoa macho???!!

Natoka kula Jack Daniel iliyomtoa roho Kanumba..halaf kama atarudia michezo yake ya tamthilia
 
Aksante Da Kaunga, umelidadavua haswa!
Unless ni wale wa vululuu vululuu....anataka mkewe achojoe, atumbukize kisha akorome! Mie sipati picha eti naangalia Precious Passion kisha kaja mwandani, kagusa na kuchezea forbidden pearl bado nina nguvu ya kuresist?? Unless nimeichezea kabla!
MwanajamiiOne kiasi nakubaliana na wewe kuwa akija mwandani wako na akifanya mambo yakiutu uzima basi attention yako itahamia kwake. Lakini wakati mwingine wanawake hamtabiriki just bila sababu ya msingi unakuwa mgumu tu, mikela kuwa mvumilivu maliza mwezi wa tano halafu muombe tena kama bado hataki basi kuna tatizo, sayansi ya mapenzi inasema mwanamke anaweza kuvumilia bila kupata kile kitu na bila kupata tabu kwa miezi minne (maximum) zaidi ya hapo na yeye anapata tabu. Kama bado atakuwa mgumu basi labda anapata sehemu nyingine, fanya uchunguzi.
 
Last edited by a moderator:
nasema haki yani paa za nyumba zingekuwa zinaongea au kungekuwa na video inaonyesha siri za ndani ya nyumba za watu mngeshangaa kwani asilimia kuwa ya nyumba za watu zina matatizo sana tena sana kwa nyakati,we waone wanatembea pamoja kama kumbikumbi wanaenda kwenye sherehe.
 
Angalia mwanzo ulikuwaje? maana kama mwanzo ulikuwa unamsikiliza lakini kwasasa humsikilizi je unategemea nini?
Maana hilo tendo linaoongozwa na hisia kama wewe unamkarahisha/unamkasirisha kabla ya kuliendea tendo hilo je yeye hahitaji?. Kama alikupa kwa kuheshim ndoa je ndo aendelee kukupa hata kama wewe huvuti hisia zake ili nawe avutiwe kufanya je unatemea yeye afanyaje? Je kama wewe ujuzi wako ameuchoka na huna ubunifu mwingine unaoweza kumfikisha katika mbigu hiyo (maana mitido mbalimbali inahitajika ili kutokuendeleza uconservative wa mapenzi) je yeye afanyaje maana akikupa kwa fasheni nyingine unaweza kusema malaya kafahamia wapi? wenzetu hawako huru kuanzisha mitindo wanahofia kuambiwa wamejuaje kwahiyo wanaume wanatakiwa wawe wabunifu kila mara na si wanawake kutokana na mila zetu kwa aliyeolewa.
Kila mmoja anahitaji ila lazima mazingira yaandaliwe na si kula bila kunawa na hii inaonekana ni tabia yako ndo maana anakuambia unapenda k
Ushauri Badilika na kumbuka mwanzo mlikuwaje na muulize mwenzio nini kinamkera na kisha jitahidi kukiondoa
Kukosana katika nyumba kupo lakini bora mkajitahidi yasitoke nje maana akiyakuta nje anakudharau na moyoni anakutoa.
Hata penzi kwake analiona mzigo na kibaya zaidi kama yeye haihitaji tendo kuna uwezekano mkubwa wa kukataa jitahidi kumwandaa mwenzio na si kuweka takataka na papohapo wewe unalala.
Pia soma sana vitabu vya mahusiano pia utajua makosa yao na utajua wanawake hawapendi kufanyiwa nini hapa ushauri ni wa kubahatisha maana wanajamii hawajui tabia yako ila mkeo anajua na ikiwezekana nenda na kitabu nyumbani naye akisome utapata ufumbuzi kiurahisi.
Vitabu vinapatikana katika maduka ya vitabu,makanisani katika maduka yao
NB Usijali kaandika wa imani gani jali ushauri wao na tafuta katika kila dhehebu upate kinachozungumzia mahusiano na kinachoainisha asichopenda kufanyiwa mwanamke/mwanaume
 
Baby...............Ye kasema anaangalia mechi na hajasema anaconcentrate kwenye mpira (Of which kitakachofuata ni ...kama waconcetrate mtihani ni lini?0

Nilijua tu nitazodolewa lol! nilikosa neno banaa :)..lakini ukweli ndio huo ukishakaa mbele ya luninga ili kuangalia mechi kati ya Manchester United na Manchester City basi hutaki bughudha ya aina yoyote hata ukiitiwa nanihii utajifanya kama husikii wala huelewi. Si unajua mambo haya wakati mwingine huonekana kama ni "bughudha" ingawaje kusema kweli haitakiwi kuwa hivyo, na hili tatizo si la Tanzania tu bali lipo katika nchi nyingi duniani.
 
Hahahah Shemeji kwani nanilii waitiwa??? akhaa.......... mwenyewe waitika aisee. Wadada wengi tunajisahau aisee..........we watizama Manchester Town sijui City, mamsap akija na gear ya kutengeneza channel hapo mwenyewe unamwita aisee..............siku hizi wadada wengi wanajua style na vivazi vya kurekebishia chennels ati!!
 
lol! wengine hufanya makusudi kabisa ndiyo maana njemba nyingi huamua kwenda sehemu sehemu kuangalia kwa utulivu maana nyumbani wanajua mamsap ataleta za kuleta ili attention ihamishiwe kwake :)
 
Najua huna uwezo wa kukatisha hiyo tamthilia kwa kuwa studio iko mbali, lkn umeshindwa hata kuvunja hicho king'amuzi?

Acha kulalama, get into action
 
Basi ukisikia watu wanasema Nyumba ndogo.. Nyumba ndogo.. Moja Kati ya vyanzo vyake ni mambo Kama hayo ..

Hapo pagumu sana rafiki, Mtu Kama huyo hata ukimwitia ushauri wa bunge zima sidhani Kama itasaidia manake ni tabia yake..

Na wewe ( kwanini ulimnanihii kabla ya kufunga ndoa ??!!!) matokeo yake ndio hayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom