Recent content by mtanzania asiye jielewa

  1. mtanzania asiye jielewa

    JamiiForums Jf nzito hii: Hatimaye yule member maarufu kapotea kama upepo chiii!

    Huu mtihani nimefeli Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mtanzania asiye jielewa

    JamiiForums Ukuta wa chuma waanza kujengwa Gaza

    Hata huku kwetu tungejenga ukuta kule machimbo ya Tanzanite Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mtanzania asiye jielewa

    JamiiForums Aliyemkashifu marehemu mtume Muhammad aachiwa huru na mahakama ya juu Pakstan

    Na tulimpeleka Muhamadi kuwa mtume wenu huku Mungu Akiwashahidi Swali je ni akina nani walimpa Mohamad utume???? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mtanzania asiye jielewa

    JamiiForums Hatari ya kushambuliwa:Israel yaweka mifumo ya ulinzi mji mkuu

    Mtashika mikia mpaka mpaka mwisho wa dunia endeleeni Kuijaji israel Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mtanzania asiye jielewa

    JamiiForums Yajue usiyoyafahamu kuhusu Vita ya Kagera

    Tafadhari naomba unitag
  6. mtanzania asiye jielewa

    JamiiForums TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Walipita kuchukua Ramani mtaani kwetu kata ya mbondole ktk mtaa wa kurutini wakafika mpaka kwangu ambapo bi nyumba ya Tatu kutoka barabarani na ni mtaa kabisa pia niliwaonyesha pakuweka nguzo na alama ikawekwa cha ajabu siku wakipokuja kusimika nguzo hawakuweka badala Yake waliwawekea mtaa wa...
  7. mtanzania asiye jielewa

    JamiiForums Natafuta Kitabu cha Nimerudi kutoka kuzimu

    Ni kichwa habari cha Riyawa fulani hivi kilikuwa kinasema Kama kuna member anacho kitabu hicho naomba tuwasiliane au kama mtu anajua kipopatikana anielekeze kilipo ahasanteni sana
  8. mtanzania asiye jielewa

    JamiiForums Natafuta mume

    Mimi nipo tayari Ila sina uhakika na ulichoandika
  9. mtanzania asiye jielewa

    JamiiForums Utafiti: Sababu ya wanawake kupiga kelele wakati wa kujamiiana

    Kuna mwingine alishawahi kuja getoni kwangu sauti yake ilinitisha yaani kama sauti ya chura
  10. mtanzania asiye jielewa

    JamiiForums Mtoto wa Kitanzania arudishwa nchini baada ya wazazi wake kukamatwa China na dawa za kulevya

    Vipi yule demu juckis sijui anaitwa jaki bado yupo huko au ameshanyongwa
  11. mtanzania asiye jielewa

    JamiiForums Taja jina la shule yako ya msingi ili ufahamiane na rafiki uliosoma nao lakini hapa hamujuani

    Mimi sijawahi kabisa kusoma hata darasa moja
  12. mtanzania asiye jielewa

    JamiiForums Si kanifanyia fujo! Sasa naenda kumpa mumewe mambo

    HAPA NIMEDINDA ILE MBAYA. Ila nimeshakujua wewe ni mgogo kama sio mrangi ndo tabia zenu
Back
Top Bottom