Recent content by mtanikumbuka

  1. mtanikumbuka

    Dereva wa Chacha Wangwe vs Dereva wa Tundu Lissu

    Nappe alijitekenya Adam nae alijitekenya Narudia utawala huu sio ule mlio uzoea eti unajua mimi ni nani. NAPPE Hivi baada ya Mwakyembe kuteuliwa Nappe alipewa barua ya kufukuzwa kazi on the spot au lilitoka tamko kwamba Nappe sasa it's over?? Jibu ni hapana sasa kilichomtuma akimbilie kuitisha...
  2. mtanikumbuka

    Dereva wa Chacha Wangwe vs Dereva wa Tundu Lissu

    Watanzania mabingwa wa kulishwa matango pori, hivi inawezekanaje Jamani watu wawili kwenye gari iliyo na tinted nzito kama ile (kwa mtizamo wa macho kwenye picha) inakuwaje zipigwe risasi zaidi ya 25/30 halafu dereva hajapata hata kidonda, Yaani alichoambulia ni nguo za lissu zilizolowa damu...
  3. mtanikumbuka

    Simba imepata nafasi zote kubwa za juu ktk uchaguzi wa TFF hongereni sana

    Simba chama kubwa hatubebwi ila malinzi kiboko vpl 2016/2017 si akawapa yanga ubingwa [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mtanikumbuka

    Nani anafaa: Uteuzi wa waziri mpya wa Nishati na madini

    Ampe HALIMA MDEE akili itatulia pale bungeni Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mtanikumbuka

    RC Dar, TEF na Ruge waongea na wanahabari: Habari za RC sasa ruksa. RC agoma kuwaomba radhi Clouds

    Le commandant kwisha kazi viva makonda vivaa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mtanikumbuka

    Niyonzima: Natamani niwafunge Yanga

    Sindano inaingia taratiiibu toreka adios amigo ajib niyonzima anafanya yake huku burdaaaaaaaaani Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mtanikumbuka

    Kutoka Tanga: Rais Magufuli awapatanisha Clouds Media Group na Paul Makonda

    Nilidhani bange zimetokomezwa kumbe we jamaa bado unatumia aisee acha ni hatari kwa afya ya ubongo wako ni ushauri tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mtanikumbuka

    Koffi Olomide

    Gete gete Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mtanikumbuka

    Karibu Msamvu Kituo kikubwa cha Mabasi Morogoro

    Acha basi Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  10. mtanikumbuka

    Tamko la CHADEMA kuhusu kauli ya Raisi Magufuli ya kutowarudisha shule wanafunzi waliobeba ujauzito

    Rekebisha kauli mkuu sema, kauli au msimamo wa ;Muheshimiwa, Doctor na Amiri Jeshi Mkuu Mtukufu RAIS wa JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA UZENI SERA RAIS NI MMOJA LIMEPITA HILO MATAKO NI KAWAIDA YENU.
  11. mtanikumbuka

    Hivi kuna dawa ya kuzuia upaa??

    Tukitoa upara tunakupa nywele zenye mvi kama lowassa
  12. mtanikumbuka

    INAUZWA Simu aina ya Tecno C8

    Mimi nauza C8 100,
Back
Top Bottom