Koffi Olomide

Koffi Olomide

Nakobanga binu te

Nakobanga nzambe na ngai.....
Mikwara ya le grande Olomide kwenye wimbo wake wa Loi (sheria)
Nakobanga binu te ( =simuogopi yeyote)
Nakobanga Nzambe na ngai=namuogopa Mungu wangu.
Kwenye lingala, te ni negative.
 
Mbona siku hizi kutafsiri lugha ni rahisi tu jamani. Badala ya kulalama, si unaenda tu Google Translate. Angalia tafsri hii hapa kupitia Google Translate:
Hongera quadra kwa sadaka didi jiwe ina siku ya kuzaliwa chama cha anastahili jina lake, anastahili pongezi yake
Mbona haileti maana?
 
Harafi zote huwa anaji sevia usiku dah huku men wengine waki nyetoka tuuuu
 
Ikeee.

siko vile nilivyokuwa, haimaanishi nipo tofauti.
 
Asante mkuu, umenipa mwanga kwenye haya:
Mokili mobimba
Tata na nzambe
Mwasi kitoko
Tata baba
Nzambe Mungu
Mwasi kitoko Prety girl....

siko vile nilivyokuwa, haimaanishi nipo tofauti.
 
Mikwara ya le grande Olomide kwenye wimbo wake wa Loi (sheria)
Nakobanga binu te ( =simuogopi yeyote)
Nakobanga Nzambe na ngai=namuogopa Mungu wangu.
Kwenye lingala, te ni negative.
Hiii lugha ipo poaaa san... Shusha kidgo mkuu

siko vile nilivyokuwa, haimaanishi nipo tofauti.
 
Mzee kijana anakula watoto wakaliwakali tu. Tres bon grand mupao.
 
Mwasi Kitoko.

Kamu**** Muyaya bozi boziana indemon coupe Bimbamba bundelele moyen te mia muliere.

Alinhopesafou mokote Lareinedela Aulit.

Pesa Fesses
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom