Recent content by MTANGANYIKA2010

  1. M

    GE2015 Hakuna upinzani wa kweli bila tume huru Tanzania

    Kosa kubwa ni la UKAWA kwenda kwenye uchaguzi mkuu huku wakijua fika Tume ya Uchaguzi NEC siyo huru ni ya CCM walifanya hivyo wakitegemea nini? Watu wote wa NEC wameteuliwa na Kikwete then unategemea kushinda uchaguzi ni miujiza. Turudi kazini tujenge taifa huku tukidai Tume Huru kwa nguvu zote...
  2. M

    UKAWA waitisha kikao cha dharura

    Bilion 150 za ccm kazini, hata Wawanunue wote Mabadiliko lazima, Ccm mwisho wao umefika, Lowassa Ikulu full stop!!
  3. M

    Hivi ni biashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa milioni 100?

    Daf XF mpya (NEW) na trela lake 75m???😠😠 hapa kuna tatizo, kuwa mkweli kk.
  4. M

    Nani amuazime "mkuu wa kaya" akili kidogo achanganye na zake?

    Hesabu ya darasa la saba, ikiwa wabunge 2 wanakula Mil. 573 kwa miezi 5, je wabunge 366 watakula Tsh ngapi kwa miezi 60??? Watatumaliza hawa wabunge na kodi zetu !!
  5. M

    Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    Haya sasa gombea huo uenyekiti na urais uliokuwa unautaka kupitia CDM ukaukosa
  6. M

    Hesabu za matipper ya Mchanga

    Kwa yeyote anayehitaji Tipper Scania, Tractor Unit, Canter 7 tons, Gari dogo toka UK tuwasiliane nitampatia msaada wa kutosha kwenda kukagua ba process zote za kusafirisha. Kampuni yetu iko hapa UK ( Lets Impo and Expo Ltd) Karibuni no zetu ni +44 7424 138508. Gharama zetu ni nafuu !!
  7. M

    TBS na Serengeti Global, huu ni wizi wa wazi na hatutakubali

    Hii issue ilishaletwa na TBS kipindi cha nyuma wakiipa kampuni moja ya mtoto wa Kigogo mstaafu wa TBS tukaipinga kwa nguvu zote wakachomoa, naona sasa wamekuja tena, NGUVU ni ileile tuipinge mpk kieleweke, MOT INATOSHA!
  8. M

    Line ya Tigopesa, M-Pesa, Airtel Money na machine ya Selcom vinauzwa

    Nahitaji line ya Tigo Mkuu unauza bei gani?
  9. M

    Hela zinatengenezwaje? Tupeni Shule

    Elimu tosha ya uchumi thanks MgonjwaUkimwi, ila nikusahihishe tu mara nyingine na pia kwa nchi zilizoendelea money supply kwa njia ya printing serikali inatangaza kabisa kwamba watafanya quantitave easing mfano Uingereza walitangaza wanaongeza pesa kwenye mzunguko kiasi cha £160 bn kwa ku print...
  10. M

    Serikalini na private, kupi kuzuri kufanya kazi?

    Nani kawaambia serikalini una muda wa kufanya mambo yako? Inategemea uko wapi na bosi wako ni nani. Sehemu nyingine kutoka saa 11 jion ndio umewahi!
  11. M

    Kwa nini tunasema mtu huyu AULA?

    Kwanini mtu anapoteuliwa ktk nafasi yoyote ya juu tunasema AMEULA? Wakati pale anakwenda kutumikia taifa ama shirika lolote ndani ama nje ya nchi, hatuoni kusema hivyo ni kuchochea RUSHWA, na UFISADI ktk nafasi hiyo kwa maana anakwenda KULA (Kuiba)?
  12. M

    Nafasi za kazi nchi za nje

    Kwa kuanzia huwezi kupewa viza na nchi za magharibi kwa ajili ya kwenda kupiga box, unachokifanya ama wengi walioko huko Ulaya na Marekani walivyofanya ni kutafuta chuo kwenye nchi hizo, kuomba viza na ukifika huko sasa akili kichwani mwako kusoma ama kupiga box nk. Ila kwa njia hii inahitaji...
  13. M

    Rais Kikwete amteua Dr. Mataragio kuwa Mkurugenzi Mkuu TPDC

    Tanzania inawahitaji sana Diaspora wake kwa ajili ya maendeleo ya uchumi hasa kwenye rasilimali watu, mitaji, etc, nashangaa mtanzania mwenye uzoefu wa kila aina ktk sekta hii mpya kwetu ameteuliwa kuja kuliongoza shirika letu ili lipate ufanisi, watu wanakejeli, shutuma, wivu, ubaguzi...
  14. M

    Mengi: Natishwa

    Huyu Mzee ni mmoja wa walioifilisi benki ya NBC miaka ile kwa kuchukua mikopo bila kurudisha ikiwemo Import Support. Ni mtu anayependa kukimbilia kweny public ili imsupport kwa kutumia uzawa nk. Ni hatari sana huyu mzee, akigombana na mtu anakimbilia kwa umma umuonee huruma wampatie public...
  15. M

    Matokeo ya usaili TRA

    Watu wana ajira zao bado wanakuja kweny usaili wa TRA? Jibu ni kwamba kutokana na baadhi ya maafisa wa TRA kupata utajiri wa harakaharaka kwa njia za rushwa na ufisadi na jamii kuona ni jambo la kawaida kwa mtu wa TRA kupata utajiri wa haraka bila kuhoji wala kuchukia anachokifanya, tena jamii...
Back
Top Bottom