Recent content by mtanganyika wa kweli

  1. mtanganyika wa kweli

    Kwa Service za magari,wiring nk karibu magomeni makanya

    Magomeni karibu na DDC...tupigie 0714608400
  2. mtanganyika wa kweli

    Kumkopesha mtu zama hizi ni kutafuta uadui

    Kuna ndugu yangu katika ukoo lakini huwa hatuwasiliani,cha ajabu akaomba nimkopeshe kadhaa,huyu ndugu ni teacher nikaampa kwa makubaliano ya kuwa atarudisha baada ya wiki moja now ni miezi 2 na zaid kimya no update.Lakin nilishajiandaa kisaikolojia simdai wala nini najua atarudi tena tu kuz kazi...
  3. mtanganyika wa kweli

    TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

    Ndio kasoma EGM Pugu dogo,..hiyo ni alama aliyopata kwenye A.mathematics.
  4. mtanganyika wa kweli

    TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

    Ndio amesoma EGM Pugu,hapo nazungumzia alama za A.mathematics alizopata.
  5. mtanganyika wa kweli

    Wanawake kwa nini mnakuwa ving'ang'anizi?

    Yaani demu wako 1 anakufanya kuja kugeneralize as if wanawake(mademu) wa dunia nzima wana kung'ang'ania. Akili sio vyombo vya wageni usiogope kutumia.
  6. mtanganyika wa kweli

    Nimepoteza sense of smell siku ya 4 leo. Mungu fundi

    Harufu unaisikiaje? Sema nahisi harufu.
  7. mtanganyika wa kweli

    Serikali msijisahau katika hili la daktari kumtibia mtu wa jinsia tofauti na yeye

    Hiyo ni conflict of interest.Atakuja dr mwengine wa kiume atamzalisha mama wa huyo dr.
  8. mtanganyika wa kweli

    Clouds Tigo Fiesta kukiwasha Taifa

    hakuna show hapo hela ya supu kwa mama bonge buku3 ndo kiingilio? siwezi toka mbez beach nikakabwe na wahuni wa tmk;mbagala.
  9. mtanganyika wa kweli

    Clouds Tigo Fiesta kukiwasha Taifa

    show inafanyika uwanja wa uhuru.
  10. mtanganyika wa kweli

    USHAURI: Usijiloge ukaomba mkopo wa bodi ya mkopo

    Ushauri wa kipumbavu.umetolewa na mpumbavu,mwerevu nakunyea km hivi wacha upumbavuv janjaro.
  11. mtanganyika wa kweli

    Polycarp Pengo hajamuandaa askofu Ruwa'ichi alipokuwa seminari. Aliyemuandaa Ruwa'ichi ni padri Cyprian Tirumanywa wa jimbo kuu la Mwanza

    Kanisa katoliki sio la wahaya,mfipa,mluguru wala mchaga,yeyote mwenye sifa anapata kinachostahili.ukitaka vyeo vigaiwe kwa wahaya wenzako tu nenda huko kabale konkama kafungue kanisa lako uwape vyeo nshomile wenzako unaotaka.
Back
Top Bottom