USHAURI: Usijiloge ukaomba mkopo wa bodi ya mkopo

USHAURI: Usijiloge ukaomba mkopo wa bodi ya mkopo

Wanafunzi wengi wanapoa apply chuo jambo la kwanza wanaanza kuuliza kozi hii nitapata mkopo asilimia mia?

Kwa ushauri wangu, wewe kama ni mwanafunzi unajiandaa kuanza chuo kaa mbali kabisa na mkopo wa loan board!!

Unaweza ukawa unafurahi kupata laki sita au laki nne za mkopo kila semester ila majuto yake utakuja kuyaona ukisha maliza chuo!!

Bora usome kwa msoto miaka mitatu/minne/mitano chuo kuliko kuja kuishi kwa msoto uki maliza chuo!!

Najua unayeanza chuo WENDA usinielewe namaanisha nini ila utakuja kunielewa/kunishukuru uki maliza chuo na kuanza kazi!!

Narudia tena ... Kaa mbali na mkopo wa loan board!!
Hizi hela zinaliza wengi Sana.
Ila jamii zetu wengi wetu Ni masikini.
Hakuna namna tunaweza tukakiepuka hiki kikombe.
 
We washaur ndug zako wenye pesa itawasaidia wenye hawana kitu kwao inamana unataka wasiende chuo
Mkuu, huyu mpuuzi tu, naona ana stress na deni la mkopo. Aongeze njia za mapato itamsadia, kuliko kushauri ujinga ujinga.
 
Wanafunzi wengi wanapoa apply chuo jambo la kwanza wanaanza kuuliza kozi hii nitapata mkopo asilimia mia?

Kwa ushauri wangu, wewe kama ni mwanafunzi unajiandaa kuanza chuo kaa mbali kabisa na mkopo wa loan board!!

Unaweza ukawa unafurahi kupata laki sita au laki nne za mkopo kila semester ila majuto yake utakuja kuyaona ukisha maliza chuo!!

Bora usome kwa msoto miaka mitatu/minne/mitano chuo kuliko kuja kuishi kwa msoto uki maliza chuo!!

Najua unayeanza chuo WENDA usinielewe namaanisha nini ila utakuja kunielewa/kunishukuru uki maliza chuo na kuanza kazi!!

Narudia tena ... Kaa mbali na mkopo wa loan board!!
Ushauri wa kipumbavu.umetolewa na mpumbavu,mwerevu nakunyea km hivi wacha upumbavuv janjaro.
 
Unatakiwa kuwa makini sana na ushauri unaompa mtu aliyetoka six na anaenda chuo, bila kumpa coution; kwa sababu wengi hawayajui maisha ya chuo, so unaweza kumuambia asiombe na yeye akakuelewa, kumbe hajajua gharama halisi za maisha atakapokuwa chuo + gharama za ada ambazo mara nyingi ni zaidi ya millioni moja.

Pia wengine wanaweza kuwa na mtu wa kuwasaidia leo; lakin hakuna aijuaye kesho yake, pengine anayekupa msaada akaacha kukupa kwa sababu kama kifo, kufirisika au kukosana.

Nilipokuwa chuo niliyaona maisha ya watu wengi wasiyo na mkopo yalivyokuwa magumu, hasa kwa wale ambao wazazi wao si matajiri na wale ambao sehemu walizozitegema mwanzo kupewa pesa, zimeharibika. Hichi kitu kiliathiri sana performance zao kwenye masomo.

Hivyo basi mtu atakayefuata ushauri wako ahakikishe yafuatayo:
1. Anavyanzo vya uhakika cha pesa

2. Apige gharama halisi za chuo pamoja na gharama za maisha ambazo ndiyo tatizo kubwa kwa wanachuo
 
Huyu aliyeandika huu uzi hajielewi hivi mtu mwenye uwezo wa kujilipia atahangaika na mkopo ili iweje. Wanafunzi wanaomba mikopo sababu wasipopewa hawataweza kusoma, sasa kusema kukatwa 15% ni tatizo kivipi, mbona wafanyakazi wanakopa mikopo kazini na sharti salio la mshahara baada ya makato lisipungue 30% na wanafanyakazi wanajenga nyumba kwa mikopo hiyo sasa huyo anayekatwa 15% kuna tatizo gani hapo wakati ameshanufaika na elimu hadi amepata kipato chake. Tuache kuwakatisha tamaa vijana wetu.
 
Yaani ni hivi.....
[emoji116][emoji116]
1. Kuna wale wanaoomba mkopo kwa ulimbukeni kisa ni pesa ya serikali huku wakijifariji kuwa huwezi jua baadae maybe utajiajiri then utakwepa deni. Najua mnajua ila mnafanya kusudi kumkosoa mtoa mada

2.kuna wale ambao kutokana na hali ya wazazi/walezi inabidi mkopo auombe atake asitake
Cha mwisho mtoa mada ametoa ushauri tu lakini naona comments zingine hazieleweki
Nashukuru kwa mchango wako na kwa kunielewa.
 
Acha kutisha watu ww,, kurudisha mkopo ni uamuzi wa MTU binafsi tena itategemea umeajiriwa wapi, serikali yenyewe inatafuna pesa za wananchi kwann na sisi tusitafune pesa hizi maana ni za kwetu wenyewe....
Kuna watu mpaka Leo hawajarudisha mkopo na wanazaidi ya miaka 10, hizi pesa zilitakiwa kupewa bure kwa wanafunzi watakaofikia ngazi ya degree kama hongera kwa msoto wa kuanzia vidudu hadi form 6.
Sasa MTU umemaliza chuo ajira hamna huo mkopo unarudishaje?? Halafu eti uje unipige fine kisa nimechelewesha kurudisha mkopo....

Nina mwaka wa Pili tangu nihitimu chuo sina kazi yakueleweka huo mkopo narudishaje kwa kukatwa 15% ya salary na unakuta salary ni 300000 bado mashirika ya pension yanakusubiria sasa c utakuwa unafanya kazi ya kanisa maana pesa zote zitakuwa zinaishia juu kwa juu......

Vijana ombeni mkopo kadri muwezavyo kurudisha ni majaliwa...SERIKALI INAPESA ZA KUTOSHA MAANA KILA SIKU KODI ZINAIBUKA MPYA ....
 
Wanafunzi wengi wanapoa apply chuo jambo la kwanza wanaanza kuuliza kozi hii nitapata mkopo asilimia mia?

Kwa ushauri wangu, wewe kama ni mwanafunzi unajiandaa kuanza chuo kaa mbali kabisa na mkopo wa loan board!!

Unaweza ukawa unafurahi kupata laki sita au laki nne za mkopo kila semester ila majuto yake utakuja kuyaona ukisha maliza chuo!!

Bora usome kwa msoto miaka mitatu/minne/mitano chuo kuliko kuja kuishi kwa msoto uki maliza chuo!!

Najua unayeanza chuo WENDA usinielewe namaanisha nini ila utakuja kunielewa/kunishukuru uki maliza chuo na kuanza kazi!!

Narudia tena ... Kaa mbali na mkopo wa loan board!!
Kusema za ukweli mkopo unatakiwa uwe last resort! Kama mzazi unaweza bangaiza ni bora umlipie mtoto wako ili asije kunasa. Mkopo ni janga ila kama huna jinsi hauepukiki
 
Naombeni mchanganuo. Kama gross salary ni 716000, aliye na mkopo atapata kiasi gani takehome, na asiye na mkopo atapata kiasi gani take home?
 
Best hawa Hawawezi kukuelewa kabisaaaaaaa.

mpaka pale salary slip zao zitakapoonyesha NEW HESLB 38,000,000/= kwa basic ya 790,000 ikiambatana na makato ya NHF, PAYE hapo ndio akili zitawakaa sawa [emoji23]

Wala usiangaike nao, in four years to come utawaona humu wana lalamika walija kushtuka hilo deni huwa aliishi bali linapumzishwa na kuanza upya!!!! [emoji23]
 
Naombeni mchanganuo. Kama gross salary ni 716000, aliye na mkopo atapata kiasi gani takehome, na asiye na mkopo atapata kiasi gani take home?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Unakatwa 103000 kama sikosei (15%)

so deduct NHIF, PAYE, LPF au PSPF bila kusahau chama cha wafanyakazi kulingana na kada uliyomo, approximately itabaki laki 4 na vijipasenti, sasa ukalipe kodi, ule, uvae, usafiri, ulipe umeme, ulipe maji bado relatives hawajakupiga kibomu plus mchepuko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzazi analipa milioni 4 kila mwaka kwa miaka 7
Milioni 4 kwa miaka 6

Anashindwa lipa milioni 1.5 kwa mwakakwa miaka 3
 
Wa
Wanafunzi wengi wanapoa apply chuo jambo la kwanza wanaanza kuuliza kozi hii nitapata mkopo asilimia mia?

Kwa ushauri wangu, wewe kama ni mwanafunzi unajiandaa kuanza chuo kaa mbali kabisa na mkopo wa loan board!!

Unaweza ukawa unafurahi kupata laki sita au laki nne za mkopo kila semester ila majuto yake utakuja kuyaona ukisha maliza chuo!!

Bora usome kwa msoto miaka mitatu/minne/mitano chuo kuliko kuja kuishi kwa msoto uki maliza chuo!!

Najua unayeanza chuo WENDA usinielewe namaanisha nini ila utakuja kunielewa/kunishukuru uki maliza chuo na kuanza kazi!!

Narudia tena ... Kaa mbali na mkopo wa loan board!!
Wasiapply utawalipia ada?na boom? Au unaongea tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Unakatwa 103000 kama sikosei (15%)

so deduct NHIF, PAYE, LPF au PSPF bila kusahau chama cha wafanyakazi kulingana na kada uliyomo, approximately itabaki laki 4 na vijipasenti, sasa ukalipe kodi, ule, uvae, usafiri, ulipe umeme, ulipe maji bado relatives hawajakupiga kibomu plus mchepuko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So mwenye mkopo atapata 450000 na asiye na mkopo atapata 553000.

Unahisi hiyo difference ni significant kiasi kwamba mtu asote miaka 3 chuo akijilipia ada 1m + , akijilipia gharama za field, na gharama za kuishi, wakati akitoka familia za maisha ya chini au maisha ya kati?

Pia, kwa tofauti hiyo, maisha ya hao wawili hayatakuwa na significant difference kubwa.
 
Back
Top Bottom