Yaani katika yote, Poti Paskali kaniangusha sana. Wewe ulinyoosha wengine sheria holaaa.Mkuu,
TYK
Nilipoleta mada hii niliweka kabisa na kifungu cha sheria atakachotumia Kardinali Pengo kujiuzulu na wala siyo kustaafu kama wanavyovumisha wengi.
Hivyo, mtu akishakuletea kifungu hakuna tena suala la kusema hujui sheria na tunavileta vifungu ili na wenye akili waweze kujua hatubahtishi.
Usikumbwe na wimbi la umbumbumbu wa Paschal Mayala aliyevuka kiwango cha umbumbumbu.