Recent content by MtamuMix

  1. M

    JamiiForums Tanzania Napinga hoja ya RC Makalla ya kulazimisha Mabasi yote ya Mikoani kupakia na kushusha abiria Stendi ya Magufuli pekee

    Ni upuuzi tuu. kinacholengwa hapo ni usafiri wa bajaji na daladala na taksi. zaidi ya hapo sijaona biashara nyingine inayoathirika. Mimi nikisafiri ninapofika mbezi hata ukinishusha hakuna nitakachonunua zaidi sana labda maji.. ambayo ni nadra sana kwa sababu nia nzima ninakuwa nimeshahudumiwa...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichokikuta kwa Mchepuko wangu jana, wanaume tuwe makini

    Mwanamke yeyote ninayekutana naye nje ya ndoa yangu huwa nimeshajiwekea sheria. Kama amenikubali huku akijua nina familia basi atamkubalia mwanaume mwingine kama alivyonikubali. kwa hiyo ni ujinga kudhani kuwa uko peke yake.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Al-Saedy Dar- Iringa: uhuni, dharau na kunyanyasa abiria vimekithiri

    Tunamtakia maringo mema. Aulize kabla yake kulikuwa na mabasi gani yanakuja Iringa, na leo yako wapi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Al-Saedy Dar- Iringa: uhuni, dharau na kunyanyasa abiria vimekithiri

    Kwani yeye ndo wa kwanza kuwa na scania? Wee subiri.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Al-Saedy Dar- Iringa: uhuni, dharau na kunyanyasa abiria vimekithiri

    Mi ndo nimewaaga rasmi leo. Kama ni mke basi talaka tatu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Al-Saedy Dar- Iringa: uhuni, dharau na kunyanyasa abiria vimekithiri

    Kampuni ya mabasi ya Al-Saedy yanayofanya safari zake Dar-Iringa wanafanya uhuni na dharau kwa abiria bila kufikiri madhara yake. Abiria wanakatiwa tiketi gari ya saa moja na nusu, mnafika stend ratiba inabadilishwa mnaondoka saa tatu. Nyingine ratiba inaonyesha kuondoka saa tatu, wao wanaondoka...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi kuua au kujiua au kuhama mkoa kwenda kusikojulikana

    , Hii story kama siielewi vile. Mimi mwanamke akiondoka kaenda kwao na bila sababu harudi, wala simfuati. Nasajili timu mpya tena kali mbichiiiii. Siwezi kulilia mapenzi kw amtu asiyenipenda.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Asante sana mkuu. Na hiyo mbolea ili nipandie hizo ekari 3 nahitaji mifuko mingapi na bei unaijua?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Nahitaji kulima ekari tatu (3) za mahindi msimu huu ambao mvua zinaanza hususani kwa Nyanda za Juu Kusini. Ila nina muda kidogo tangu nilime zao hili kwa hiyo kuna mambo nataka kujikumbusha naomba mnisaidie najua huku kuna wajuzi wa mambo haya. - Bei ya mbegu za mahindi kwa kilo - Nitahitaji...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa purchasing power, Je kundi la high income group wanaathirika? Village Supermarket ya high class wa Mbezi Beach Shamo Tower yafungwa!

    Kwenda zako. Wewe ni akina kajamba nani? Nimeishia hapo kusoma.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mama Janeth Magufuli, shikamoo!

    Sikiliza, wewe kuwa mpole haimaanishi ukikutana na simba atakuhurumia. Hii ni kanuni muhimu katika ulimwengu huu wa ubepari. Kama wewe hupigi dili usidhani kwa kutokupiga kwako dili ndo utahurumiwa. Tembea kifua mbere
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wanawake mafia, wanabadilisha matokeo ya mechi dk ya 90++, salute you Cathy!!!

    Huwezi kuamini, amempora dada yake tonge mdomoni dakika ya mwisho kabisa. Nilipata kufahamiana na Angela. kwa kweli alikuwa mzuri sana nilimkubali kila kitengo. Ila ukweli yeye ndo alidata kabisa juu yangu alinipenda sana kuliko mimi nilivyokuwa nikimpenda. Siku moja, nilipigiwa simu na mtu...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

    Wanapatikana wapi jamani? mbona mimi siwaoni. Natafuta binti mzuri aliyezalishwa na kutelekezwa ila anayejitambua, ambaye ana uhakika hana mawasiliano na baba mtoto na hatarajii hilo litokee. Ikiwezekana ambaye hajui hata baba mtoto yuko wapi. awe mkomavu wa maisha kwa ujumla. Niko tayari...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Low self esteem inawafanya wanaume wengi ku date wanawake wabaya wa sura

    Poor analysis. Wewe unaangalia uzuri wa nje/mwili/mwonekano wa shape tu. Umesahau uzuri mwingine wa akili, ukomavu wa maisha, uzuri wa papuchi yenyewe unaweza kukuta binti ana shape nzuriiii, subiri sasa avue chupi, utatamani uahirishe mechi. Nilishawahi kumuhangaikia demu mkali siku...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kama umeelewa hii kitu hebu dadavua

    Wengine tunafungua mtandao mara chache sana jamani naona matukio mengi yanatupita. Nimejaribu kusaka nyama kidogo lakini wapi.
Back
Top Bottom