Chief Majinge heritage
Senior Member
- May 21, 2019
- 102
- 223
hakuna mwanamke mbaya bali no tafsiri wa maono yako kimsimamo na falsafa yako kiuchaguzi na maamuziHii kusema wanawake wazuri wanakuwa sio smart kichwani nayo ni kuwa na low confidence. Katika kila group ya watu lazima kutakuwa na mabogus na smart hata hao wabaya pia wako kibao sio smart ila kwa vile mmeweka kichwani wanawake wazuri sio smart inaonekana hivyo ila sio kweli eti wengi wao sio smart. Kuna wanawake wengi katika jamii ni wazuri pia ni wana akili.
Halafu pia kuna hii thahabia ya wanaume wakiona wanawake wazuri wamefika sehemu nzuri wanahisi sio akili zao zimewafikisha hapo lazima nyuma kutakuwa na mwanaume amesababisha. Lakini mwanamke mbaya akifika mbali watu wanasema akili zake ndio zimemfikisha aliko 😂 hii nayo inachangia wanawake wazuri kuonekana sio smart. Ni low confidence ya watu tu.