Recent content by MTAMBOKITAMBO

 1. MTAMBOKITAMBO

  Natafuta mtu anayeweza develop Wordpress templates nifanye naye kazi!

  Habari wadau,kama kichwa cha habari kinachosema hapo juu naomba kama kuna mtaalam wa kudevelop hizo templates from scratch nifanye naye projects za hela.Naomba uni PM kama wewe ni mhusika. Tafadhali,sihitaji mawazo tofauti wala ushauri usiokuwa na mpango.Ahsanteni
 2. MTAMBOKITAMBO

  Msaada:Naomba mtu anitengenezee LOGO

  Nimeipata mkuu,nashukuru kwa kuipenda kazi yangu.Mungu akubariki ufanikiwe zaidi kwenye hiyo kampuni uliyoianzisha.
 3. MTAMBOKITAMBO

  Msaada:Naomba mtu anitengenezee LOGO

  Haya hiyo hapo mkuu,kazi kwako.
 4. MTAMBOKITAMBO

  UDOM yatapika wanafunzi zaidi ya elfu mbili

  Hebu elezea kwa undani kidogo maana hii ishu ni kubwa kwa sisi wenye ndugu waliochaguliwa huko UDOM!
 5. MTAMBOKITAMBO

  Msaada wana udom kuhusu bima ya afya

  Ahsanteni sana wadau,ngoja tutajua huko huko.
 6. MTAMBOKITAMBO

  Msaada wana udom kuhusu bima ya afya

  Habarini wadau,ningependa kupewa taarifa kuhusu kujiunga na Bima ya Afya je ni inatakiwa kujiunga kabla hujaenda chuo ama ukifika chuo ndio kuna utaratibu wa kujiunga huko?Maana kwenye website ya NHIF sijaona maelekezo yaliyonyooka ya wapi unatakiwa kujiandikishia na wapi kuchukulia hizo forms...
 7. MTAMBOKITAMBO

  Kutoa na Kutotoa Namba ya Simu kwa Wanawake

  Kama hataki basi mwache akose bahati...
 8. MTAMBOKITAMBO

  Msaada wa ushauri kwenye hii blog yangu ya logo design

  Ushauri mzuri MtotoSix,hope watalifanyia kazi mamods wa humu.Wabongo tunadharau sana graphics,ila siku tutalipia tu,iwe isiwe!
 9. MTAMBOKITAMBO

  Jinsi ya kutengeneza Logo ya kampuni au shirika

  If you are really serious mkuu inabidi ulipie logo hata kwa pesa kidogo,huwezi kuwa na kampuni halafu ukashindwa lipia hata elfu shilingi kadhaa za logo professional!Kumbuka wengi wanaodai kutengeneza logo bure wanaweza kuwa aidha sio serious into graphics business ama wanategemea pia utawapa...
 10. MTAMBOKITAMBO

  Msaada wa ushauri kwenye hii blog yangu ya logo design

  Nashukuru sana mkuu,pamoja!Mimi natumia Illustrator na Photoshop CS5 kwa sasa.Tutawasiliana mkuu. Cheers!
 11. MTAMBOKITAMBO

  Msaada wa ushauri kwenye hii blog yangu ya logo design

  Nimeziona mkuu,kazi nzuri.But katika designing unaweza fanya kazi nzuri nyingi lakini mteja wako akachagua isiyovutia zaidi.Ukianza kuwa serious na designing utagundua hili.Kuna industries hazihitaji mbwembwe kabisa bali ni simple na professional logos!Na mimi mwanzoni nilikuwa nadesign very...
 12. MTAMBOKITAMBO

  Msaada wa ushauri kwenye hii blog yangu ya logo design

  Ahsante mkuu,nitalifanyia kazi hilo.Lakini hizo ndizo ambazo wateja wangu walizichagua,japokuwa naweza design attractive zaidi kutokana na mahitaji ya mteja.Mfano,haipendezi kuweka mbwembe nyingi kwenye logo ya kampuni ya ujenzi.Huwa natoa form ya kujaza mteja namna apendeleavyo logo yake...
 13. MTAMBOKITAMBO

  Msaada wa ushauri kwenye hii blog yangu ya logo design

  Habari wakuu,weekend inakwendaje pande zenu...Sasa wadau wa hili jukwaa naomba msaada wa ushauri wenu kweny hii blog yangu ya http://www.logozetu.blogspot.com/ Blog inahusu graphics designing kwa ujumla kama vile logo design,banners...nk. Najua mawazo yenu yatanisaidia mimi na wadau wengine...
 14. MTAMBOKITAMBO

  Nadesign LOGO/ NEMBO za uhakika cheki samples kwenye blog yangu

  Habari wakuu,mimi ni kijana mdau wa graphics.Nadesign logo,banners,websites,images...na kazi zangu ni za haraka na uhakika.Kwa wale mtakaohitaji logo ama nembo za biashara zenu msisite kuwasiliana nami. Tembelea blog yangu www.logozetu.blogspot.com ujionee mifano ya kazi zangu. email...
 15. MTAMBOKITAMBO

  Kiwanja kinauzwa kibamba ccm,wahi sasa!!!!

  Dah!Mkuu bora umesema wewe...maana!!!Ndio maana nikaweka picha waonekane na majirani,sasa hapo ndio utajiuliza hao majirani wanaishije bila maji?
Top Bottom