Msaada wana udom kuhusu bima ya afya

MTAMBOKITAMBO

Senior Member
Jun 2, 2011
194
39
Habarini wadau,ningependa kupewa taarifa kuhusu kujiunga na Bima ya Afya je ni inatakiwa kujiunga kabla hujaenda chuo ama ukifika chuo ndio kuna utaratibu wa kujiunga huko?Maana kwenye website ya NHIF sijaona maelekezo yaliyonyooka ya wapi unatakiwa kujiandikishia na wapi kuchukulia hizo forms za registration.Thanks in advance
 
kwa sisi wa udsm form za bima ya afya tulizikuta hukohuko chuo sasa nadhani utaratibu utakuwa hivyohivyo
 
usijiunge kwanza, subiri mpaka ufike chuo, maana kuna ile laki 1 ya medical capitation kwenye direct cost haitakua na kazi tena kama ukijiunga na NHIF,
mimu binafsi sijajiunga mpaka nipate taarifa zaidi
 
Utazikuta chuoni hukohuko, maana hata hapa Eckernforde Tanga wamekuja wenyewe. Wanadai kuwa gharama ni Tsh 50400 kwa mwaka. Nenda chuo tu mkuu, inawezekana ikawa kila chuo kinautaratibu wake.
 
Back
Top Bottom