Msaada wa ushauri kwenye hii blog yangu ya logo design | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa ushauri kwenye hii blog yangu ya logo design

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MTAMBOKITAMBO, Jul 15, 2012.

 1. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wakuu,weekend inakwendaje pande zenu...Sasa wadau wa hili jukwaa naomba msaada wa ushauri wenu kweny hii blog yangu ya http://www.logozetu.blogspot.com/ Blog inahusu graphics designing kwa ujumla kama vile logo design,banners...nk.
  Najua mawazo yenu yatanisaidia mimi na wadau wengine wenye mawazo kama yangu ya kufanya kazi online.Kutokuwa na ofisi kusitufanye kuwa masikini wakati vipaji tunavyo vijana.
  Natanguliza shukrani zangu za dhati.

  Cheers!

  Moja ya kazi zangu ni hii...

  [​IMG]
   
 2. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  nna logo nyingi nimetengeneza for fun, pia nna flyers na takataka kibao, pitia photo gallery uone picha kadhaa zangu
   
 3. leh

  leh JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  logo zako sio mbaya ila (na sio kwa ubaya) they lack that attraction. yaani ziko bland sana #mythots
  on another note, avatar yako nzuri :)
   
 4. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante mkuu,nitalifanyia kazi hilo.Lakini hizo ndizo ambazo wateja wangu walizichagua,japokuwa naweza design attractive zaidi kutokana na mahitaji ya mteja.Mfano,haipendezi kuweka mbwembe nyingi kwenye logo ya kampuni ya ujenzi.Huwa natoa form ya kujaza mteja namna apendeleavyo logo yake iwe.Cheki logo kama ya NIKE ama PEPSI utagundua nielezeacho.

  Cheers!
   
 5. leh

  leh JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  nakuelewa kabisa MTAMBOKITAMBO. keep up the good work. siku ukitaka perspective tofauti ya logo uliyoitengeneza usihofu kuniuliza, najivunia kaufundi kidogo wa image design na naweza kusaidia maybe
  natumia imageready, illustrator, photoshop na fireworks (cs4 zote), wewe?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeziona mkuu,kazi nzuri.But katika designing unaweza fanya kazi nzuri nyingi lakini mteja wako akachagua isiyovutia zaidi.Ukianza kuwa serious na designing utagundua hili.Kuna industries hazihitaji mbwembwe kabisa bali ni simple na professional logos!Na mimi mwanzoni nilikuwa nadesign very complex logos for fun.Now i'm learning this business deeply.

  Cheers!
   
 7. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana mkuu,pamoja!Mimi natumia Illustrator na Photoshop CS5 kwa sasa.Tutawasiliana mkuu.

  Cheers!
   
 8. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  ndo maana niliomba mods waweke sub-forum kwa ajili ya wanaopenda kufanya graphics, ili tushee experience, mi natumia sana photshop cs5, na illustrator kiasi, fireworks! napenda kuwapa watu tutorial za photoshop nnazozijua na pia kushea some of my works in psd format ili wanaoanza wajifunze kwa urahisi
   
 9. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ushauri mzuri MtotoSix,hope watalifanyia kazi mamods wa humu.Wabongo tunadharau sana graphics,ila siku tutalipia tu,iwe isiwe!
   
Loading...