UDOM yatapika wanafunzi zaidi ya elfu mbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDOM yatapika wanafunzi zaidi ya elfu mbili

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by jaywacnza, Oct 15, 2012.

 1. jaywacnza

  jaywacnza JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 651
  Likes Received: 394
  Trophy Points: 80
  walikuwa admitted lakini chuo wanasema nafasi zimejaa,inackitisha kutokuwa na mawasiliano kati ya chuo na tcu!
   
 2. S

  Sir M.D.Andrew JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Habari hii umeitoa wapi?maana chuo kina hostel nyingi mno
   
 3. Msherwa

  Msherwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 1,344
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  kuna ukweli ndan yake?
   
 4. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hebu elezea kwa undani kidogo maana hii ishu ni kubwa kwa sisi wenye ndugu waliochaguliwa huko UDOM!
   
 5. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Hamna kitu kama icho,mimi nimeripoti na hakuna mtu aliyerudi labda kama hajalipa ada ila wote wamesailiwa
   
 6. Jimjuls

  Jimjuls JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 461
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Sir Andrew admission sio hosteli peke yake inajumuisha mambo mengi.Hosteli zinaweza kuwa nyingi lakini lecture halls za kubanana...
   
 7. jaywacnza

  jaywacnza JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 651
  Likes Received: 394
  Trophy Points: 80
  watu wameenda na ada zao tayar kwa kuanza masomo,lakin wakaambiwa nafac zmejaa tumeyarudisha majina yenu tcu,huo ndio ukwel,kozi nying zimechukua watu weng kupitiliza,nlichokiona mm kwnye karatac fulan tcu ni COLLEGE OF.... -2810,bado nyngne hapo,sasa hiko ki negative kina maanisha nn?
   
 8. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Watanzania kwa kupenda umaarufu wa bei rahisi
   
Loading...