MTAMBOKITAMBO
Senior Member
- Jun 2, 2011
- 194
- 39
Habari wadau,kama kichwa cha habari kinachosema hapo juu naomba kama kuna mtaalam wa kudevelop hizo templates from scratch nifanye naye projects za hela.Naomba uni PM kama wewe ni mhusika.
Tafadhali,sihitaji mawazo tofauti wala ushauri usiokuwa na mpango.Ahsanteni
Tafadhali,sihitaji mawazo tofauti wala ushauri usiokuwa na mpango.Ahsanteni