Mkapa hana muda wa kujibu tuhuma hizi, anajua kabisa kwamba hawezi kufanywa lolote na yeyote katika Tanzania. Katiba ya nchi ina mlinda kwa 1,000,000,000,000,000%
Tungebadilisha katiba lazima Mkapa angepatwa na tumbo la kuharisha. Mtu kama Yona anaongelea mgongoni mwa Mkapa, kwa uchafu wote...