Je Halali Kwa Balali Kuzikwa Usa?

Je, Ballali alikuwa na uraia wa nchi ngapi na alitumikia nji hii akiwa raia wa wapi?
Mimi ninavyofahamu ni kwamba kulikuwa na utata wa suala la uraia katika katiba yetu unaokatza Mtazania kuwa na uraia wa nchi mbili, iliwezekana vipi huyo mheshimiwa kulitumikia taifa hili akiwa na uraia wa Marekani?

Kwa mtazamo wangu ni kwamba ilifaa kwa nchi kuomba mwili wa mtanzania huyo ili uletwe huku na kuzikwa kwa mila na desturi za huku sio hizo za kuchoma moto.

Na kama kuzikwa kunatokana na usia wa marehemu, je, inawezekana kwa mimi kuandika kuwa ningependa nikifa nizinkwe UK na ikawezekana kama nitafia TZ na kwa wakati huo sina passport wala visa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom