Tuliambiwa kwamba kama JK angeshindwa katika kinyang'anyiro ndani ya CCM basi angeamishia majeshi CHADEMA na Mh. Mbowe alikuwa tayari kumpokea. Mwanzoni nilishindwa kuamini kama huo uhusiano unaweza kutokea lakini sasa nimeanza kuamini kwamba JK aliombwa kuandika sera za CHADEMA.
Sera ya Ajira
Serikali ya CHADEMA itatengezena ajiri nyingi na hasa kwa vijana, kivipi?
Tutaweka kipaumbele kuweka mazingira ya kuongezeka fursa za ajira
Tutatengeneza ajira milioni moja ndani ya mwaka mmoja wa utawala wa CHADEMA kwa kuimarisha sekta za ujenzi, madini, kilimo, utalii na huduma za jamii (walimu, madaktari na manesi).
Kwa hili naomba ufafanuzi toka kwa mwenzetu hapa JF Mh. Mbowe.
http://www.chadema.net/nyaraka/sera/ajira.php