Recent content by Mtama

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya ujenzi itakuwa bora kuliko zote

    Kutokana na wizara hiyo kupewa askari wa ukweli inasemekana ndo itakuwa wizara bora kutokaxa na kombinesheni ya dokta Pombe na dokta Mwakyembe,ama kweli wizara ya ukweli hii
  2. M

    JamiiForums Tanzania Binti mpweke anahitajika

    Namba zinapatikana,ila ni mojawapo kati ya hizo k
  3. M

    JamiiForums Tanzania Binti mpweke anahitajika

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29,natafuta binti kwaajili ya kumuoa,awe na umri kuanzia 23 mpaka 27,asiwe mwanafunzi labda wa chuo,pia awe sirious,awe anajiamini,nitafute 0769072588,0652505115 na 0786256380
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananipa dozz ndogo

    Pole dada ila zungumzeni wote wawili,mkawaone wataalam,watawashauri kwani kuna mazoezi maalum ya kufanya ili awe na uwezo wa kupiga hata goli 4 daily
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwani ni lazima???

    jambo la msingi nililosema ni kuaminiana hilo ndo la maana,ila sio marufuku kutumia vya mwenzi wako,kama vile sim nk
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwani ni lazima???

    Kama mnaaminiana hakuna haja ya kufanya yote hayo,tatizo kama hamuaminiani,haipendezi kumkagua mwenzako lakini sio marufuku!!!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Kuuliza

    Sio sawa kabisa wanaume saa nyingine tunakuwa bogasi,mwanamke hachungwi bana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnavotunyanyapaa kimapenzi.....kwa nini? (Muziki)

    Hakuna wa kunizingua mpaka nimuimbie wimbo,wizi mtu!!!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Body Language Akinadada Tafadhali Tujuzeni

    Duh!Haya bana......Mambo hayo mie siyajui mie mtotoooo.....
  10. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na yote kaka zangu

    Wapo wanaume wa aina zote mbili jamani,yupo ambae ukimpenda anakuwa kama dem,mapozi milion,lakini mwingine akipendwa nae anapendeka anakua hana mapazi hata kidogo!!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtego wa mfanyakazi wa kike kwa mfanyakazi mwenzie mwanamme safarini

    Yap naungana na Rose coz yameshapita,ila pia huyo jamaa ni hero wa ukweli,congratulation bro maana sisi wanaume bwana...........!!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kigali au Mombassa ungechagua wapi?

    Huyo asiangalie mambo ya nje ajiulize anahitaji nini kwa mwanamke,hicho atakachogundua anakihitaji aangalie ni yupi anacho amchukue huyo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimalizapo tu!

    Mkubwa usihofu tatizo la kawaida tu,labda inaonekana ulijichua sana wakati fulani,kama ni hivyo hiyo hali itaisha,ila jitahidi kufanya mazoezi na pia ili mwenzio awe anafika kileleni jitahidi kumfanyia romance ya kutosha kama saa moja au dakika 45 ili ukichoka nae awd ameridhika!!!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dada kwenye hili utavumilia????

    Wewe ni dada mkali una umbo la ukweli halafu una shoga yako nae mkali lakini hakuzidi wewe,huyo shoga yako ana boyfriend handsome mwenye vigezo ambavyo unatamani umpate boyfriend wa namna hiyo,kinachokuumiza ni yule shoga yako anamletea mapozi huyo jamaa kiasi kwamba anakuletea malalamiko wewe...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kama ni wewe utafanya nini?

    Vuta picha unatoka kwenye chumba cha guest ulikuwa unado na dem mwingine,kufika mlangoni unapigwa na butwaa mimacho inakutoka kidogo idondoke chini unapomcheki dem wako nae anatoka kudo na njemba nyingine,utakuwa mdogo kama punje ya unga wa ngano au utajinyonga na kamasi??????????
Back
Top Bottom