Wanawake mnavotunyanyapaa kimapenzi.....kwa nini? (Muziki)

Zuweeenaaaaa ningempata wapiiiii,
Zuweeeeana.....mwingine sawa na wewe....
Mtoto aliyeumbika, mwenye tabia za kupendeza
Zuweena...zuweena kweli nampeeeda...

Hili gari la mama!!!!

Hommie hapo umechakachua:nono::nono::nono:! (umeshinda mkoko nini tuambiane)
 
Tuna kushukuru Mama Maria.
Kwa neema unazotujalia,
Ahsante mama wa Yesu, uliye na huruma
Uzidi kutuombea mpaka saa ya kufa.

Tuna furaha, tuna matumaini,
Ahsante mama kwa kutupigania.

Tuna kushukuru Mama Maria.
Kwa neema unazotujalia,
Ahsante mama wa Yesu, uliye na huruma
Uzidi kutuombea mpaka saa ya kufa

Huyu ndie mwanamke wa pekee ambaye hatusumbui wanaume. Wote semeni Amina!
 
Hommie 'sisi' wa kizazi kipya tunasema:
Mbagala
Busara na upole......
na hekima niliorithi kwa mama yangu.....
vyote hukuvijali......ukaona silingani nawe
Kwa kuti na mkole, umekata shina la penzi langu .........kisa mali...............
tatizo kwetu mbagala....niliumia sanaaaaaa....ungejua jinsi gani....utamu wa mapenzi umekula kwangu...

Halafu ukiitwa digidigi unalalamika:tape::tape::tape:
 
Halafu ukiitwa digidigi unalalamika:tape::tape::tape:

Ita tu...ruksa....nakamilisha logistics kwa mujukuu...:evil::evil:

Jesca mamaa nalia...wewe ni hakimu wa penzi letu...ahh jescaa mpenzi wangu....
bosi wako alitumia wadhfa wake...bosi wako alitumia cheo chake...na kuliteketeza penzi letuuuu....ahhh jesca.............
 
Kaizer nadhani mie na wewe tunalingana umri mika yetu ileeeeeeeeeeeee ya 1950 na 60

Leyla- OTTU JAZZ BAND
nimesimama njia panda, nikitazama wapita njia eee, nimesimama nikiwaza ahadi yetu tuliyopanga eee,
tukutane da-es -salaam mama mama, nia na madhumuni wazazi watuone,............................................
usinione nimekonda ewe leyla, hakuna mwingine mama ila ni wewe leyla
matatizoooo, kumpenda aliependwa na wengi,
waweza kunywa sumu, au ukajinyonga..........

japo jina la wimbo nahisi nimelikoseas lakini du ka wimbo katamu sana hako, na mimi ni wa miaka hiyo sio peke yenu, full kuumizwa na masista hawa
 
Kaizer mpendwa naomba niwekee Kitambaa Cheupe ....
Hii ni special Dedication to Preta Nyamayao,Pearl,MJ1 ,BHT ,na kina dada wote wa JF
Message sent.

Kwa sasa sina maneno yake nayatafuta ila burudika kwanza kwa kuangalia wanavorusha roho kwa vitambaa vyeupe....picha kwa hisani ya kiluvya blog

IMG_7851.JPG
 
V.I.P Jery Nashon Dudumizi& Vijana Jazz

"Ahera hakuendeki,Dunia haikaliki nimepatwa na mfadhaikooo,ahera hakuendeki Dunia haikaliki nimepatwa na mfadhaikoooo"

"Si maji wala Soda vitakavyozima kiu yangu,ila ni wewe Viaipiii(VIP),si maji wala Soda vitakavyozima kiu yanguuu,iila ni weweeeee,viaipiiii
"Ukinikubali viaipii,mimi niko tayari,kubadili dini,ukinikubaliii viaipii mimi niko tayariiii,kubadili dini,hata kama wazazi wangu hawapendi,nitafanyafanya mipando niwe na wewe smbamba(sambamba) nitafanyafanya mipango niwe nawee sambambaaa"

Zuweeenaaaaa ningempata wapiiiii,
Zuweeeeana.....mwingine sawa na wewe....
Mtoto aliyeumbika, mwenye tabia za kupendeza
Zuweena...zuweena kweli nampeeeda...

Hili gari la mama!!!!

Hommie hapa umetonesha aseee......nakumbukia enzi hizo za middle school nilikua namuimbia dada aliyekua anitwa zuwena na alikua bomba huyo ....da cjui nani alijiwekea ndani kifaa kile.........
jamani zuwenaaa ntampati wapiii kweli zuwena ntampatawapi
mtotot alie umbika mwenye tabia za kupendezaa zuwena zuwena kweli nampendaaa...
 
Ita tu...ruksa....nakamilisha logistics kwa mujukuu...:evil::evil:

Jesca mamaa nalia...wewe ni hakimu wa penzi letu...ahh jescaa mpenzi wangu....
bosi wako alitumia wadhfa wake...bosi wako alitumia cheo chake...na kuliteketeza penzi letuuuu....ahhh jesca.............
Kuna vibao kama hivi

Akaja dada Rukia na ndooye mkononi,
Chura ukajinasua ukajitosa pembeni..............

Au

Ewe njiwa ewe njiwa peleka salamu
Kwa yule kwa yule wangu wa muhibu

Njiwa peleka salamuuuuu,
kwa yule wangu muhibuuuu,
Ukifikaaaaa, muelezeeee....kwamba ninapata taabu...

Hivi hii ni twaarab au?
 
dah mi pia huu wimbo unanikuna sana hommie....kuna wakati mtu full kuchanganyikiwa,,,,, unamwambia basi wewe umeshilia makali mie mpini sasa hakimu ndo yeye! yaani full matesoo
 
Tuna kushukuru Mama Maria.
Kwa neema unazotujalia,
Ahsante mama wa Yesu, uliye na huruma
Uzidi kutuombea mpaka saa ya kufa.

Tuna furaha, tuna matumaini,
Ahsante mama kwa kutupigania.

Tuna kushukuru Mama Maria.
Kwa neema unazotujalia,
Ahsante mama wa Yesu, uliye na huruma
Uzidi kutuombea mpaka saa ya kufa

Huyu ndie mwanamke wa pekee ambaye hatusumbui wanaume. Wote semeni Amina!

Hommie umesahau alimpeleka puta Mt. Yosefu? au hukumbuki nn lol
 
Kuna vibao kama hivi

Akaja dada Rukia na ndooye mkononi,
Chura ukajinasua ukajitosa pembeni..............

Au

Ewe njiwa ewe njiwa peleka salamu
Kwa yule kwa yule wangu wa muhibu

Njiwa peleka salamuuuuu,
kwa yule wangu muhibuuuu,
Ukifikaaaaa, muelezeeee....kwamba ninapata taabu...

Hivi hii ni twaarab au?

Ya ni taarab....kama zile za mzee yusuf....:smile:
 
dah mi pia huu wimbo unanikuna sana hommie....kuna wakati mtu full kuchanganyikiwa,,,,, unamwambia basi wewe umeshilia makali mie mpini sasa hakimu ndo yeye! yaani full matesoo

Ukichanganya maudhui na sauti ya TX basi ni balaaa....
 
Kaizer mpendwa naomba niwekee Kitambaa Cheupe ....
Hii ni special Dedication to Preta Nyamayao,Pearl,MJ1 ,BHT ,na kina dada wote wa JF
Message sent.

Okay Preta, Nyamayao, Pearl, BhT, mmededicatiwa wimbo huu na FL1

Kitambaa cheupe (King Kikii)

Halo mama naondoka eeh
naenda nitrudi, nyumba wabaki jihadhari na watu fitina wambea

oooohh ina mengi mama eeh
Kila kukuchapo mambo mapya tuyazingatie ya kwetu ee wala tusiwape muda karagosi (zibola)X3

Kiitikio

Nainua mkono mama kitambaa cheupo
ishara ya mapenzi mama ooh Zibola wewe na mi mama ua langu la moyo

wewe nami zibola mama, ua langu la moiyo hayo yote ni visa tu watajaza pekee

mama Zibola (zibola eeh ) nainua mkono mama kitambaa cheupoe (Zibola sheri wangu)
Sheri Zibo.....wewe na mi zibola mama eeh...ua langu la moyo chuchuuuuuu!!!

Kiit...
 
Tuna kushukuru Mama Maria.
Kwa neema unazotujalia,
Ahsante mama wa Yesu, uliye na huruma
Uzidi kutuombea mpaka saa ya kufa.

Tuna furaha, tuna matumaini,
Ahsante mama kwa kutupigania.

Tuna kushukuru Mama Maria.
Kwa neema unazotujalia,
Ahsante mama wa Yesu, uliye na huruma
Uzidi kutuombea mpaka saa ya kufa

Huyu ndie mwanamke wa pekee ambaye hatusumbui wanaume. Wote semeni Amina!

hivi wewe....mhhh ngoja tu ninyamaze.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom