Kigali au Mombassa ungechagua wapi?

Mpasuajipu

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
836
49
Jamani wana Mjengo wa Jf
Kati ya demu wa Kinyarwanda au Mkenya wa Mombassa ungechagua kuelekeza majeshi pande ipi ikiwa wote wana sifa za uzuri na mamejaaliwa kisawa sawa? Kuna rafiki yangu yuko njia panda tumsaidie kwa kutoa sifa na tabia mbalimbali za mademu wa nchi hizi kwa wale wanaowafahamu vizuri pengine itampa mwanga kidogo.This is not a joke, mie nimewaona wote na nimechanganyikiwa na bado natafakari jinsi ya kumsaidia, ila picha zao siwezi kuzibandika humu.
 
Huyo asiangalie mambo ya nje ajiulize anahitaji nini kwa mwanamke,hicho atakachogundua anakihitaji aangalie ni yupi anacho amchukue huyo
 
Nakubaliana na mdau hapo juu, kichwa chake ndio serikali yake. Ikiwa wanyarwanda wabaya doens't make all of them the same.
 
Kweli tabia tu ganda la nje litakudanganya. Kama tabia inakuridhisha beba
 
Kama wewe ni mteja wa Zantel/Tigo wa Mombasa atakufaa kama uko Voda/Zain wa Kigali saizi yako.
 
Jamani wana Mjengo wa Jf
Kati ya demu wa Kinyarwanda au Mkenya wa Mombassa ungechagua kuelekeza majeshi pande ipi ikiwa wote wana sifa za uzuri na mamejaaliwa kisawa sawa? Kuna rafiki yangu yuko njia panda tumsaidie kwa kutoa sifa na tabia mbalimbali za mademu wa nchi hizi kwa wale wanaowafahamu vizuri pengine itampa mwanga kidogo.This is not a joke, mie nimewaona wote na nimechanganyikiwa na bado natafakari jinsi ya kumsaidia, ila picha zao siwezi kuzibandika humu.

Mpasuaji bila picha itakuwa ngum kukusaidia weka tu utapata msaada Acid amesema hapa kuna sheria hakuna kuhribiana ushofu lakini mimi nahisi uzowefu na Nyaru na Wagunya tuwaulize humu kwenye JF kuna madereva wa magari ya mizigo wana wajua hao vizuri lakini kitabia flani wote wanakaribiana sasa swalilako limelenga wapi muundo wa bodi au maswala mengine kwa bodi myaru safi kwakua wanamiili mikavu namanisha wanamasozi taiti wamombasa wengi wao wanmiili tepetepe baada yamiaka flani huregea zaid nazani unalijua hili kuna tofauti ya mwafrika asilia ila kwatabia zile zakunanihii EJN kama kawa ukimpa mgongo inakuwa domi domi domi domi domi
 
Jamani wana Mjengo wa Jf
Kati ya demu wa Kinyarwanda au Mkenya wa Mombassa ungechagua kuelekeza majeshi pande ipi ikiwa wote wana sifa za uzuri na mamejaaliwa kisawa sawa? Kuna rafiki yangu yuko njia panda tumsaidie kwa kutoa sifa na tabia mbalimbali za mademu wa nchi hizi kwa wale wanaowafahamu vizuri pengine itampa mwanga kidogo.This is not a joke, mie nimewaona wote na nimechanganyikiwa na bado natafakari jinsi ya kumsaidia, ila picha zao siwezi kuzibandika humu.
Hawa wakikutana na watu wa kwao baba, we andika maumivu, haijalishi mmekuwa
pamoja muda gani ................ mi Mombasa siendi tena, Majengo siendi tena .........
Kwangu Yaeda Chini tu ............ nyumbani ni nyumbani .....:cool:
 
hiyo haina upele mzee ntakaza roho tu
 
Ukifika Mombasa kuna dalili zote za kulowea huko na waweza jikuta waahirisha kama sio kufuta kabisa safari ya Kigali. Kama Tanga flan hivi, maana hata Wadigo pia wapo huko, so ww 2 mkuu wapenda vya pwani ama bara?
 
Hawa wakikutana na watu wa kwao baba, we andika maumivu, haijalishi mmekuwa
pamoja muda gani
................ mi Mombasa siendi tena, Majengo siendi tena .........
Kwangu Yaeda Chini tu ............ nyumbani ni nyumbani .....:cool:

Hapo kwenye bold. Wanyarwanda???? Usithubutu atakuacha na ndoa yako ya kanisani na watoto wote mliozaa nao.
 
kwani huyo mshikaji wako sio mwislam??? Akamate wote wawili...Uislam unaruhusu kaka....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom