Recent content by Mtalii wa Kisiasa

  1. M

    Je, kila route ya ATCL inalalamikiwa kuchelewa kuondoka au ni dharura na inatolewa taarifa?

    JE KILA ROUTE YA ATCL INALALAMIKIWA KUCHELEWA KUONDOKA AU NI DHARURA NA INATOLEWA TAARIFA? Leo 14:15pm,27/10/2019. Naipenda ATCL kama shirika letu,Napenda kupanda Bomberdier na Airbus kwa Safari za ndani ya nchi,na Boeing kwa Safari za nje ya Nchi,kwa hakika huduma zao ni nzuri sana,hakuna...
  2. M

    Wapinzani wanauliza, kwanini leo madaraja yanavunjika halafu tunanunua midege?

    WAPINZANI WANAULIZA, KWANINI LEO MADARAJA YANAVUNJIKA HALAFU TUNANUNUA MIDEGE? Leo 12:15pm,27/10/2019. Ukifuatilia kelele hizi utafikiri mambo mengine yote hayafanyiki nchini isipokuwa ununuzi wa ndege tu,Niwakumbushe faida iliyotangazwa Jana ya dola Milioni 14 na bilioni 1.5 iliyotolewa...
  3. M

    Karibu Rubondo Island

    KARIBU RUBONDO ISLAND. Leo 10:15pm, 27/10/2019. Sasa Watalii kutoka Gatwick London nchini Uingereza, New York nchini Marekani, Mumbai na New Delhi nchini India, Guangzhou nchini China wataweza kusafiri moja kwa moja toka nchini kwao kwa Usafiri wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwa...
  4. M

    Zitto: Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema...

    KIGOGO AGARAGAZWA ROUND YA KWANZA,ZITTO & CO WAMTELEKEZA UJERUMANI. Leo 16:00pm,20/10/2019. Siwezi kuamini kama taifa kubwa duniani kama Tanzania linaweza kuendeshwa na propaganda za Kigogo,Zitto,Shangazi,Tundu,Maria na Lissu.Niwatake radhi kwa kuwaita ninyi ni wapumbavu na upumbavu wenu ni...
  5. M

    Wakati wa binadamu si wakati wa Mungu

    WAKATI WA BINADAMU SI WAKATI WA MUNGU. Leo 12:15pm,20/10/2019. Mwaka 2008 aliyekuwa mgombea Urais wa Ghana kupitia chama cha NDC,Prof John Atta Mills alipatwa na upofu ghafla akiwa kwenye kampeni na kuwahishwa kwenye Matibabu nchini Afrika ya Kusini. Kesho yake Magazeti nchini Ghana...
  6. M

    Kambi ya mzinga na maghorofa mafupi Morogoro

    KAMBI YA MZINGA NA MAGHOROFA MAFUPI MOROGORO. Leo 14:15pm,19/10/2019. Mji wa Morogoro ambao una maghorofa machache,ni mji ambao ulikuwa mahali pa kutunza Usalama wa nchi kwani kambi kubwa za kijeshi zilipata kuwa hapo,Majengo ya maghorofa yalikuwa yasiyozidi ghorofa moja si kwamba ardhi...
  7. M

    Ndege tatu zanunuliwa kwa faida iliyotokana na ndege nane zilizopo

    NDEGE TATU ZANUNULIWA KWA FAIDA ILIYOTOKANA NA NDEGE NANE ZILIZOPO. Leo 13:15pm,16/10/2019. Atcl sasa itamiliki ndege kumi na moja baada ya kununuliwa kwa ndege nyingine tatu kutokana na faida iliyopatikana kwenye biashara ya ndege nane zilizopo. -Hitaji la Wasafiri lazidi usafiri wa ndege...
  8. M

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    ALIYOHARIBU JPM. Leo 16:30pm,15/10/2019. Ahsante msomaji wangu kwa kunipigia simu na kusifu kipaji changu cha kuandika na kusema Msemakweli Chakubanga ni kati ya watu wanne wanaothamini juhudi za "Hapa Kazi Tu" maana zinaonekana na zinaandikwa kuwekwa kwenye historia kwa ajili ya vizazi hadi...
  9. M

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    TUNAJIMWAMBAFAI KWA KUELEZA MAFANIKIO YAKUTUKUKA YA AWAMU YA TANO. Leo 13:15pm,09/10/2019. Awamu yako tuliacha kujimwambafai wapinzani wakawatangaza wanao kuwa ndio wenye pesa nyingi Tanzania,Wapinzani wakataja kila aina ya Ufisadi uliofanyika ukiwemo Ufisadi wa akaunti ya Escrow na Ufisadi wa...
  10. M

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    BOSI KAZI JOHN MAGUFULI AMEWEZA,TUMPE KUMI TENA. Leo 13:15pm,06/10/2019. Bosi kazi John Magufuli ameifanya Tanzania kuwa kama mahala tofauti na ilipokuwa miaka minne iliyopita,Novemba 2015 Bosi kazi John Magufuli alimrithi Jakaya Mrisho Kikwete kutoka chama kilekile cha CCM kilichoiongoza...
  11. M

    Reli ya Standard Gauge, bwawa la Rufiji, ndege ATCL vinatosha kujibu hoja ya Zitto

    RELI YA STANDARD GAUGE,BWAWA LA RUFIJI,MIDEGE ATCL VINATOSHA KUJIBU HOJA YA ZITTO. Leo 10:15am,29/09/2019. Awamu ya tano ina miradi mingi nchi nzima,miradi inayoonekana kwa macho na sio miradi hewa ama ya kitapeli kama miradi tuliyowahi kuisikia siku za nyuma,Miradi mingi ya barabara nchi...
  12. M

    Tatizo la Morogoro ni nini?. Je, ni wakulima na wafugaji,ajira ama ni rushwa?

    TATIZO LA MOROGORO NI NINI,JE NI WAKULIMA NA WAFUGAJI,AJIRA AMA NI RUSHWA. Leo 12:15pm,22/09/2019. Morogoro,Mji kasoro bahari,wenye mito inayotiririka masaa 24 na mabwawa makubwa lakini hakuna Kilimo cha uhakika cha biashara licha ya uwepo wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine. -Historia ya...
  13. M

    Uchaguzi 2020 Nitatia nia Morogoro 2020

    MOROGORO NYUMBANI. Leo 08:30pm,19/09/2019. Morogoro,Mji kasoro bahari,wenye mito inayotiririka masaa 24 na mabwawa makubwa lakini maji ni changamoto,umeme nao mita kadhaa kutoka mjini bado ni shida mfano Kasanga,kata ya Mindu. Naamini onyo la Mh Waziri Mkuu kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro liende...
Back
Top Bottom