Recent content by Mtalebani Mweupe

  1. Mtalebani Mweupe

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Tuna muda hata wa kumfirigisa dada yako. Yani muda tunao sana
  2. Mtalebani Mweupe

    JamiiForums Tanzania Tishio la Kuunda Kikundi cha Uasi

    Kwenye maandamano kulikuwa na fikra hizo hizo kwamba hakutotokea kitu. Well tumeona matokeo yake Now, ishu hii ya Vikundi vya uwasi sio ishu ya kudharau kama kwenye maandamano, Pure reconciliation inahitajika kitaifa. La sivyo mabaya yanaweza kutokea
  3. Mtalebani Mweupe

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Dah, Everton wakija second Half watapaki basi.
  4. Mtalebani Mweupe

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Hii kali Sana, ina episode 2 Tu mpaka sasa
  5. Mtalebani Mweupe

    JamiiForums Tanzania I am seriously sick but for this let me write for the sake of Tanganyika… Watanganyika Mmelala mnoo tunajua mengi!

    Ugua pole kijana, tunakusubiri kwenye mapambano
  6. Mtalebani Mweupe

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kesho Dar watu wana jambo lao

    Aiseee
  7. Mtalebani Mweupe

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Nitatoa taarifa rasmi kuhusu Askofu Gwajima Saa 11 Jioni

    Muda ushafika, tunasubiri ripoti
  8. Mtalebani Mweupe

    JamiiForums Tanzania Kazi ya VPN

    Yah ni wengi Sana.
  9. Mtalebani Mweupe

    JamiiForums Tanzania Kazi ya VPN

    Maelezo yako huenda yakawa na ukweli baadhi. Kuna watu kipindi hichi cha Internet kuzimwa walikuwa wanatumia baadhi ya VPN na wanapata internet. Kwenye simu Tu na wala hawajawasha WiFi.
  10. Mtalebani Mweupe

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Ilikuwa Msaada na VPN Haikuwa Msaada?

    Mtu atoe ramani labda. Au uwe mkosoaji na taarifa zako haujazificha waki Trace wanakupata kirahisi
  11. Mtalebani Mweupe

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

    Ngoja tujiandae na VPN
Back
Top Bottom