Tishio la Kuunda Kikundi cha Uasi

Tishio la Kuunda Kikundi cha Uasi

Upuuzi na kujimwambafai kuanziaha kikundi cha uasi vinishie uko mitandaoni.
Kule kwenye field msijaribu kabisa.
 
Kwenye maandamano kulikuwa na fikra hizo hizo kwamba hakutotokea kitu. Well tumeona matokeo yake

Now, ishu hii ya Vikundi vya uwasi sio ishu ya kudharau kama kwenye maandamano, Pure reconciliation inahitajika kitaifa. La sivyo mabaya yanaweza kutokea
 
Naangalia mitandaoni naona kuna mtu kavaa musk kajirekodi sijui wameanzisha kikundi cha Uasi nikajiuliza huyu anaifahamu Tanzania Vizuri??

Kikundi cha Uasi Tanzania??? Nawaambia hata siku mbili hakitachukua JWTZ ndo wakali wa hizo mambo hivi hamjiulizi Taangu tupate Uhuru kwanini vikundi hivyo havipo Tanzania?

Ila vijana ability ya kufanya reasoning imepungua sana haya ni kama ya Habil na Kabil Captain Tesha, na Cornel Agustino Polepole.

Captain Tesha alikua ni muumini wa Kanisa la Gwajima tuu. Akina Habil na Kabil kama mnavyojua

Akatokea Mlevi mmoja anaitwa Agustino Polepole mpaka sasa naona mmeshamfahamu mwaka ndo kwanza unaanza tutasikia mengi.

Kwa Tanzania Mazingira hayaruhusu ku operate vikundi vya uasi usifananishe Tanzania na Burundi na DR Congo???

Endeleeni Kuota.
Ungekuwa na akili ungejua kati ccm na hicho kikundi ni lipi Genge la uasi dhidi ya wananchi na nchi Yao

Ungekuwa hata akili zaidi uchawa ungekuwa genge la uasi ni wale waliopor mamlaka ya wananchi

Lakini akili sio za Kila mtu
 
Back
Top Bottom