Mimi binafsi wewe na Nifa nimewafuatilia Sanaa, nikitaka kuangalia drama nzuri nakuja kwenye comment zenu kuangalia mmerecommend nini, then na Mimi napita humohumo[emoji2][emoji2][emoji2], miaka ya hivi karibuni nikaona wote mmepotea mnaonekana mara moja moja tuu, binafsi naweza kusema ni...
Hapo kosa ni kumpa mimba mwanafunzi, haijalishi ana umri gani. Kisheria tafsiri ya mwanafunzi, ni yule ambae yuko primary school au secondary school. Ingekuwa kosa ni kubaka tuu, sasa hapo ndo tungeangalia umri, aliyebakwa ana umri gani, kama binti ana umri chini ya miaka 18 hapo kosa la kubaka...
Hivi mbona siku hizi NHIF wanaendelea kupunguza dawa, nimeandikiwa dawa ya duphaston mara kadhaa, lakini ukienda dirashani wanakwambia imeisha nenda kanunue.
Kuna siku nilienda hospitali moja ya private wakaniandikia kwenye fomu ya bima nikanunue pharmacy wao hawana, nilitembea pharmacy zote...
Kweli yaani hii weekend bila crash landing on you ni mbaya kwangu pia. May be I should start watching stove league, hope it's gud.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kamani drama zipi nzuri zinaonyeshwa jumatano na alhamisi. Maana najikuta hizi siku zinakuwa ndefu bila kuangalia korean drama. Msaada wenu jamani maana naona usiku huu kwangu utakuwa ni mrefu sanaa.
Hello guys. Naombeni msaada jinsi ya kuwa contact hawa kikuu. Mimi niko Babati. Nimeutrack mzigo wangu online na uneokana umefika toka jumamosi na mimi nimeupokea. Kiukweli sijaupokea sijui hawa kikuu wamempa nani. Naomba msaad wenu please jinsi ya kuwacontact.
Mi jamani nimeagiza mzigo nimeutrack na wamesema umefika na nimeaccept. Mi nipo Babati. Na inaonekana umefika two hours ago. Sasa sijui wamempa nani. Nomba mnisaidie anayejua contact zao. Nimechek kwenye app yao sijaona.
Kaka asante kwa mkeka huu niliuchukua kama ulivyo kasoro man u, maana nilibet baada ya mechi ya west ham vs man u kucheza. Sasa nasubiri 50,000 + kutoka kwa muhindi.
Jamani mwenzenu nina meno kama sita hivi yametoboka na tayari nishang'oa manne kwa sababu tofauti tofauti.Mawili yalikuwa yameota vibaya na mawili yalikuwa yametoboka haswaa hata kuziba hayafai. So naombeni msaada wa dentist mzuri wa kuyakarabati na si kung'oa maana nitakuwa kibogoyo.
Let me tell you the truth, mimi ni kati ya watu àmbao nilipata supp nyingi sana kwenye core subjects. Yaani lilibaki somo moja tu niwe discontinue. Yaani kitendo tu cha kupata supp nilifurahi sana na nikamshukuru mungu kwa sababu nilijua if I work hard nitaclear masomo yote. Sasa kwa wale wanao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.